Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,352
- 22,963
Kama mwanamke anachepuka basi jua hatimiziwi kimwili......mwanamke akufuata pesa, gari wala nyumba kwako, alikuwa na kila kitu kabla hujamuoa......sasa kama unamtimzia kila kitu na kitandani performance ni zero hapo lazima house boy au shamba boy au huyo dereva uliyesema ajazie yale mapungufu ambayo humpatiii.
Wanaume mnakosea sana mnaposema kuwa 'huyu mwanamke nampa kila kitu, gari zuri, nyumba nzuri, pesa za kutosha' ila kumbuka kilichomtoa kwao kuja kwako sio hivyo vitu bali ni wewe....kama ni zero basi kaa mkao wa kusaidiwa na hao mahouse boy.
Muwe mnasema kama hamridhishwi sio unakaa kimya halafu mnaishia kuchepuka. Mjulishe aelewe kwamba bwana hufikagi