Mwanamke kukataa kutumia kondom

Tunakataa kutumia condom kwasabab utamu unapungua
 

ukweli mtupu! nani anataka utamu kwenye nylon
 
kama umeshafanya utafit wanataka kavu manake umekula mzigo kavu,tutakupa ushauri gani zaidi ya ww kujisalimisha ANGAZA ujue afya yako
 

Mm kuanzia mara ya kwanza huwa napiga dry....condom siwezani nazo kama umeandikiwa ukimwi utaupata tu hata ukivaa cndm 100
 
iiiiiiiiiwe? nogimanya katerero?

bagusherera tayari?

cc KOKUTONA kwa tafsiri!

nakugambila nakukunda, but you didnt answer!

Nogimanyile kateroro tu gulio tomorrow&nogimanyile buzi kwa machumu.
unataka kundunda.
(Bagusherera hope si tusi ngoja ntafute maana)
 
Last edited by a moderator:
1.wapo wachache ambao hawajielewi na hawaithamini afya yao.2.Na wengine wanaaminiana sana ndo mana wanafanya hivyo.3. woga
 
Wengi huwa wanasema zinawawasha eti. Nawapongeza changudoa wapo makini sana na condom
 
Ni baadhi ya mabinti wengi hukataa kutumia condom.

hii ipoje.

} Kumwamini sana mwanaume

} Kumwonesha upendo wa dhati mwanaume

} Wanapata xana maumivu pindi watumiapo weza wao
hii ipoje? wadau

Really??? Baba wa imani?
 
Mimi binafsi niliacha kutumia Mpira toka enzi za 18 huko ...ilinichubua sana halafu nikapatwa na kitu kama malengelenge hivi halafu nilisumbuka sana kuyatibu so kutumia hiyo kit
mm siwezi kabisa
 
Ukiwa wewe kiongozi unatakiwa uwe na uamuzi/maamuzi, kumbuka utakachoamua wewe ndicho kitakachofanyika, kuwa makini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…