Mwanamke kukataa kutumia kondom

Mwanamke kukataa kutumia kondom

Nogimanyile kateroro tu gulio tomorrow&nogimanyile buzi kwa machumu.
unataka kundunda.
(Bagusherera hope si tusi ngoja ntafute maana)
ayayayaaa! hiyo bold si neno zuri amu! lol...

ngoja nije pm nikupe zito kuliko hilo!

iwee!...
 
Ni baadhi ya mabinti wengi hukataa kutumia condom.

hii ipoje.

} Kumwamini sana mwanaume

} Kumwonesha upendo wa dhati mwanaume

} Wanapata xana maumivu pindi watumiapo weza wao
hii ipoje? wadau
Wengine baada ya tendo zinawawasha balaa
 
Anataka kukuambukiza ngoma

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
mimi huwa condom zinanibana sijui kwanini hawaweki extra large
 
mimi huwa condom zinanibana sijui kwanini hawaweki extra large

Tatizo lako kama langu ila jaribu kutumia zile Kamasutra, toka India kidogo huwa zinanifaa ila kwa kuforce sana. Home made condoms ni vidogo sana. Ukiforce hukawii kukipasua.
 
tushapima af siku salama and nampenda,condom ya niniiiii
 
Maana ya ya matumizi ya condom haipo tena.
..Vijana wa siku hizi kazi kutafuna pap.uchi kama bubblish, then wanavaa condom, kama ni kuzuia HIV sidhani...
..Mie ukishasema condom, navaa bxer yangu..!
 
Back
Top Bottom