Mwanamke kukataa kutumia kondom

Mwanamke kukataa kutumia kondom

Hahahahaa...mie pia mkuu afu naweka uso wa mbuzi hakuna kusemeshana hadi anaachia!

Unaona mkuu, nitafune papuchi kama bablis afu uniambie nivae condom...sioni mantiki kabisa!!
 
Mwanamke anayekataa kutumia kondom ni mpumba.fu coz kuna uwezekano akawa anasaidiwa lakini yeye anaamua kujiua.
 
Acha kujishaua.
Nani hapa anauwezo wa kugegeda miezi 3 ile serous relationship na condom?
wengi wenu mara 4 ya ukishajua na kuzoeana mwenyewe unaitula.
Huo ukimwi wenyewe mnaambiwa mkishapima mrudi baada ya miezi 3 kupima tena.Wengi wenu mkitoka angaza na majibu ndo sherehe ya kugegedana usiku mzima kavukavu mmesahau mlivyoambiwa chumba cha kupima.

siku hz upendo huwa upande mmoja kama si KE basi ME ila kwa wote ni ngumu sana usije ukajiroga kwamba wewe upo serious basi na mwenzio hivyo hivyo utanyweshwa juice ya pilipili ohoooooo!!!!!!!!!!!:yo:
 
Acha kujishaua.
Nani hapa anauwezo wa kugegeda miezi 3 ile serous relationship na condom?
wengi wenu mara 4 ya ukishajua na kuzoeana mwenyewe unaitula.
Huo ukimwi wenyewe mnaambiwa mkishapima mrudi baada ya miezi 3 kupima tena.Wengi wenu mkitoka angaza na majibu ndo sherehe ya kugegedana usiku mzima kavukavu mmesahau mlivyoambiwa chumba cha kupima.

ha ha et sherehe ya kugegedana usiku mzima
 
Back
Top Bottom