Wazungu watutafutie dawa ya kupaka kama tunavyojipaka mosquitoes repellant
Wazee wa bare footed....hahaha
Wapo makini wapi iaingekuwepo ile na condom 10,000 kavukavu 30,000
Tatizo ni ukikanyaga mwiba ...
Ukikanyaga mwiba si unautoa tu....kama ikibidi unadunga sindano ya kuzuia tetanus!