Typhoid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 243
- 100
Ukiwa na hasira anaweza kukufanya ukatabasamu
Uukiwa tajiri anaweza kukufanya ukawa masikini and viceversa.
Aanaweza kukufanya ukawachukia marafiki, wazazi na ndugu zako wote!
Anaweza kukuua pia kwa tamaa zake za maisha:
Tunawapenda Hawapendeki, jamani wanawake Hawa!
Eti ni viumbe dhaifu, kwa lipi?
Mwenzenu nashukuru sikuzaliwa mwanamke!
Nitarudi baadae kuendelea na list!