Mwanamke!!!! Kiumbe wa ajabu sana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke!!!! Kiumbe wa ajabu sana!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Typhoid, Feb 22, 2012.

 1. Typhoid

  Typhoid JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  .ukiwa na hasira anaweza kukufanya ukatabasamu
  .ukiwa tajiri anaweza kukufanya ukawa masikini and viceversa.
  .anaweza kukufanya ukawachukia marafiki, wazazi na ndugu zako wote!
  .anaweza kukuua pia kwa tamaa zake za maisha:
  .tunawapenda Hawapendeki, jamani wanawake Hawa!
  . Eti ni viumbe dhaifu, kwa lipi?
  Mwenzenu nashukuru sikuzaliwa mwanamke!
  Nitarudi baadae kuendelea na list!!!!!
   
 2. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Mkuu,
  Yamekukuta nini??
  Pole!
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kaaazi kweli kweli!!

  Haya muonee huruma mama yako kuzaliwa mwanamke!!!
   
 4. double R

  double R JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 1,356
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  For the same reasons, i'm proud to be born a woman.
  We have a uninterested cover (weak) but worthy and powerful content.
  So cool.:lol:
   
 5. F

  Flowereddy Member

  #5
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chonka bojo!
   
 6. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  mi chichemi!
   
 7. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Hizi thread za kutu diss wanawake zimekuwa ndo new trend sasa eeh!
   
 8. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mwanamke huyo huyo ni binadamu kama wewe. Je wewe na uume wako ni kamili? Nadhani tatizo si kuwa mwanamke au mwanaume bali uwezo wa mtu kuyachambua mambo. Wote tumeumbwa kwa mfano wa Mungu. Wapo shetani wanaume na wanawake kadhalika. Kama yamekukuta usikimbilie kulaumu wote. Waweza kuwa tatizo kuliko hata huyo mwanamke uliyempa ushetani wote. Ni majambazi, wabakaji, mafisadi, wasanii, wauaji na mengine mengi ni wanaume? Basi kama kuna mwanamke shetani duniani si mwingine bali mama yako aliyekuzaa ufanye hitimisho hafifu kama hili.
   
 9. F

  Flowereddy Member

  #9
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeipendaje hii. ni point.
   
 10. M

  MAGISAC Member

  #10
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hizo sifa ni za mkeo au mamako maana hao nao ni wanawake
   
 11. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  bora uchicheme maana tutakuchambulia...
   
 12. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #12
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  atm.jpg
  Na mimi naweka matatizo yaho hapa wajisome!!
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  oa mwanamme....
   
 14. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #14
  Feb 22, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Umesahau ulitoka kwenye kiwiliwili cha mwanamke? I mean mama yako? Asinngeuzaa leo ungekuwa na jeuri ya kusema hayoo.
  Watu wengine bhana.
   
 15. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #15
  Feb 22, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Mwanamke tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu ameonekana ni kiumbe dhaifu, lakini ni viumbe wenye huruma sana. Dunia sasa hivi imebadilika hata wanawake wanaumizwa na wanaume pia wapo wanaofilisiwa na wanaume wao.

  Nimuangaliapo mwanamke namuona ni mtu wakumheshimu sana maana huwa najiuliza swali hili hivi kipindi bado niko tumboni mwa mama yangu, halafu alivyopotelea katikati ya msitu akiwa peke yake angekata tamaa je mimi leo ningekuwepo?

  Acha niwaheshimu hata kama ni wadhaifu.
   
 16. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #16
  Feb 22, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Tuliza munkari jombaa...
   
 17. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #17
  Feb 22, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Amekuhudumia miezi tisa tumboni kwa taabu na matatizo, Amekuzaa kwa uchungu na kukulea kwa shida. Amekuwa mlinzi ktk mapito yako. Mafanikio yako ni kutokana na baraka zake. Amekuwa mstari wa mbele kukusuport ktk mambo yako. Ame...
   
 18. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #18
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,333
  Likes Received: 22,181
  Trophy Points: 280
  Nadhani mleta mada ni mzaliwa wa wazazi wa jinsia moja. Yaaani ya kiume
   
 19. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #19
  Feb 22, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Mh... Bora ungempiga tu Lizzy... Maneno makali namna hii...?!
   
 20. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #20
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  wanawake wasumbufu hao. ndo maana kuoa hadi tulazimishwe. naangaliaga haka kagirlfriend kanavyo niumiza kichwa hadi nachanganyikiwa. je siku nikioa si ndo itakua balaa?
   
Loading...