Mwanamke kiatu!

Mwanamke kiatu!

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
tumblr_lyr34cpv6g1qzzdpio1_400.png
 
Naona italeta taathira Misuli ya miguu!! Tahadhari wadada wenye mimba.
 
kwa hiyo unakiwa kutembelea vidole?ama kweli kazi mnayo!
 
Ole wao wanaomrekebisha muumba, yeye aliumba kisigino kikanyage ardhi na kimponde nyoka wao wanakiweka juu juu kama mkungu wa ndizi. Kwa kuanzia duniani hapa hapa ni ugonjwa wa mishipa ya damu na misuli.
 
fashion nyingine zataka moyo

bei yake shilingi ngapi bana
 
mimi mzima mwali za weekend lakini?hope ua fine as well
I didn''t have any weekend! Saturday nilikua na meeting (maybe the most impostant since mwaka uanze)
na jana I was assisting a friend to move, aliumwa ghafla juzi, so jana I had to replace her. but all went well
Sema ndio hivo nimechokaaaa. On top of that #TaifaStars lost and #LekaDutigite didn't make it. aaagggrrrr!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom