Sikiliza,ndugu yako ni mtoto na si mkeo,ndoa ya kanisani ni bora kuliko mwanao?
Chukua mwanao ukae nae,hataki aondoke yeye akuachie watoto wako,utatafuta hata hg akuangalizie watoto.
Kwanza dogo mkubwa hyo,lini atapata mapenzi toka kwako,baadae atakukana hyo kwamba hukumlea.
Wanawake wapo tu,lakini huwezi jua hyo mwanao mola kampangia riziki gani.
Mkuu umeongea point ya msingi sana....jamaa kama vipi alitimue hilo janamke na aishi na wanae tu....unaweza kukuta hilo lijanamke linawazia mirathi tu kabla jamaa hajafa...
Mkeo sio ndugu yako,Mwanao huwezi achana nae abadani, kwa kutambua hili , utajua nn cha kufanya.
Baadhi ya maneno yako ni sahihi ila sio yote.Sikiliza,ndugu yako ni mtoto na si mkeo,ndoa ya kanisani ni bora kuliko mwanao?
Chukua mwanao ukae nae,hataki aondoke yeye akuachie watoto wako,utatafuta hata hg akuangalizie watoto.
Kwanza dogo mkubwa hyo,lini atapata mapenzi toka kwako,baadae atakukana hyo kwamba hukumlea.
Wanawake wapo tu,lakini huwezi jua hyo mwanao mola kampangia riziki gani.
Mrejesho mkuu.Mtoto wangu wa kwanza ana miaka 8 nilimpata nikiwa mwaka 2 chuo ambapo kutokana na mamake kutokuwa mvumilivu kunisubiria nimalize kusoma aliamua kuolewa na kumuacha nyumbani kwao mtoto, nilipohitimu chuo na baada ya kupata kazi niliamua kumtafuta mwenza wa kuoa ambapo kabla ya yote nilimwambia ukweli kuwa nina mtoto na yeye akakubali atamlea lakini mara baada ya ndoa akanigeuka hataki kumuona mtoto huyo na kule anakokaa mtoto wanataka nimchukue.
Nimetumia kila njia imeshindikana msimamo wake ni hataki kumlea mtoto wa mwanamke mwingine, nifanyeje hapa wakuu maana nikilazimisha (uwezo huo ninao) anaweza kuwa anamtesa mtoto kipindi sipo akamsababishia matatizo ikitegemea huwa nasafiri mara kwa mara na sikai nyumbani sana na kuvunja ndoa siwezi maana ni ya kanisani na tayari tuna watoto
wengine wawili.
Ushauri wakuu

Haya siyo maovu. Kwa sababu amepatikana hata kabla ya kumpata huyo mke wake. Kwani huyo mke alimkuta na kingozi chake aka bikra?Duh, kiubinadam ni ngumu sana kulea mtoto wa kambo coz ankakukumbusha maovu ya mwezi wako aliyoyafanya nyuma. Ni bora umtafute mjane yeyote anayeishi peke ake au na watoto wake tu umlipe hela akusaidie kulea.
.. Kumleta hapo will tear apart your wife, you and even that 'boy'... Ni ngumu sana kuishi na mtoto wa nje kama una roho ndogo. Tafuta mtu ambaye hana collision of interest. hata kama ni ndugu yako, mlipe akulelee mtoto. It will help both of you...
MrejeshoNimeshuhudia mama kambo akimnyanyasa mtoto naogopa sana sipendi mtoto anyanyaswe muda mwingi sipo nyumbani nasafiri mara kwa mara.
Mkuu kumbuka kazaa na wanawake wawili tayari na ana watoto3 na kumbuka nyumbani kwake anakaa na mtoto wa dada so akija hapo home ni nyumba ya watoto 4 plus Baba na mama 6.Kama mwanaume haupaswi kuomba ushauri kwa hili. Chamsingi Fanya maamuzi ambayo kwako utahisi yana usahihi.
Mwenza unaweza ukamtafuta mwingine, lakini mtoto wako huwezi ukamtafuta mwingine, Thaminisha mtoto na mke/ mume then unaweza ukapata jibu sahihi.
Mtazamo wangu ni, Kama mke/ mume hampendi mwanao hapo maanayake huyo mwenza wako hakufai.
Over....
Ndo hawa sioi single mather.Tuacheni longolongo wakuu, hivi kuna mwanaume wa kumlea mtoto wa mwanaume mwenzake hapa?
nyie ndo wa kwanza kabisaa "
Hata huyo mwanao si ana vinasaba vya mwanamke mwingine au????Mwanaume kukataa kulea mtoto ni sawa maana mtoto yupo upande wa mme lakini mwanamke inakuwa ngumu.
Hata huyo wa nje alimpima DNA mkuu????yako.....kwanza una uhakika kama hao waliopo nyumbani ni wa kwako kweli au amebambikia tu...nenda kapime DNA..
Mkuu Punguza hasiara.Acha kuwa kama punguani wewe...nyie ndio aina ya wanaume manowekewa mpaka ratiba ya kugonga papuchi na wake zenu na mkitoka kazini huwa mnasugua masufuria huko jikoni....pumbaff...
Yaani mwanamke akuamulie hatima ya maisha ya damu yako......?? Yeye kama nani kwanza...???...kama papuchi tu si zinauzwa mpaka buku mbili tu.....sasa cha zaidi ambacho wanawake wengine hawana ni nini labda.....au huyo mwanamke ulitongozewa....??
Acha upimbi wewe ,nyie ndio huwa mpaka mnapagiwa masharti ya ndugu zako kufika kwako...huku ukisomesha ndugu wa mwanamke ambao kamwe hawana shukrani na hawata kujua kamwe....tena ujinga kama huu usiuseme mbele ya wanamume wenzio, unaweza ukachezea makofi kama sio ngumi kabisa.....utajisikiaje siku uko kwenye gari yako alafu unamuona ghafla anakatiza mbele na gunia la makopo ya chupa za maji...???
Utajisikiaje siku utakaoambiwa kuwa mwanao ni miongoni mwa machokoraa wanaoosha vioo barabarani....??
Utajisikiaje siku utakayopewa taatifa kuwa mwanao mpenzi amechomwa moto baada ya kukwapua mkoba wa mtu fulani baada ya kuwa mtoto wa mtaani...??? Hatima ya yote haya yanategemea maamuzi yako ya sasa.....au mkuu wewe ndio umeolewa na hiyo kazi amekutafutia baba mkwe....???.
Acha ujing.a wewe fanya maamuzi ya kiume wewe....