Mwanamke jitambue kama wewe ni mbaya

Mwanamke jitambue kama wewe ni mbaya

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
647
Reaction score
351
1.Wa tag watu 100 picha yako kwa facebook, ukipata likes mbili tena kutoka kwa ndugu zako ujue wewe ni mbaya.

2 Mwanaume atajisikia na uhuru pindi akiongea na wewe, sababu atakuona
kama wewe ni mmoja wa mwanaume mwenzao. Wenginge watapenda kusikia ushauri wako wa jinsi ya kumuingia msichana mwingine.

3.
Kama ujawahi kulipiwa nauli katika daladala au usafiri wowote. Unatakiwa kufanya kitu fulani katika muonekano wako.

4.
Kama katika maonyesho ya sanaa shuleni, kanisani. Siku zote wanakupanga ucheze nafasi ya Uchawi, Zimwi au shetani. Tambuwa wewe ni mbaya

5. Wasichana wengi wenye majina mazuri kwenye facebook au jamii forums
kama
Cute, Diva na yanma hiyo. Ki kawaida ni wabaya.

6. Wasichana wabaya hawataipenda hii post na wataweza kukoment kwa hasira.
 
Hahahaaa. Nimecheka sana.
Hivi mkuu unajua Remi Ongala alikua ameoa chombo sana? Ukimuambia yule mzungu kuwa mumewe alkua mbaya
(japo alikua anajisema anaongoza kwa ubaya) atakuelewa kweli? Hahahahhaaa.

Ubaya na uzuri ni relative term aisee. Kinadharia ulichokisema kinakifu flani hivi.
 
hahahahahaha! hakuna mbaya duniani ni mazingira tu yanafanya mtu aonekane mbaya, sasa kama mtu ni mbaya we unataka afanyaje? ajibadilishe ili akubalike? wewe ukisema mbaya wapo ambao wanamuona mzuri, hujatenda haki kwa huu uzi unataka kuwapa watu presha waanze kujiona inferior watafute hata njia zisizofaa ili waonekane ni wazuri, uzuri wa mtu ni kuanza kujikubali mwenyewe kwamba yeye ni mzuri na ameumbwa kwa mfano wa Mungu.
 
Kijijini kwetu kuna mmama mmoja yeye alikuwa ameota meno kwenye lips za juu, na ana makengeza. Watu wengi walikuwa wanamuona kama kituko ila alikuwa na shape nzuri ajabu. Baba mmoja akampenda akamuoa yule mama na wakazaa veeeery beautiful kids. So Msandawe Halisi ukisema mtu mbaya wewe wengine wanamuona mzuri. Pia hata bible inasema'tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu' so kama utasema mtu mbaya inamaana na Mungu nae mbaya? No, naamini binaadam wote ni wazuri ila mazingira na hali ngumu ya maisha huwafanya watu waonekane wabaya, na nikusahihishe tu ndugu yangu SIO MTU MBAYA SEMA HAVUTII AU HANA MVUTO
 
mmmmh! makubwa haya,hiyo no3 ndio imeniacha hoi...kumbe kulipiwa nauli ya daladala pia mpaka uwe mzuri?hupewi kwa hisani au moyo safi wa mtu?
 
sijajua hasa maana ya hii...

mimi nimepangwa kucheza kama CID katika movie fulani hapa street kwangu...

hii ina maana gani??

wakati nikiwa primary, nilicheza sana maigizo kama afande... sijajua waalimu wangu walimaanisha nini kuniweka km character wa hivyo...
 
1.Wa tag watu 100 picha yako kwa facebook, ukipata likes mbili tena kutoka kwa ndugu zako ujue wewe ni mbaya.

2 Mwanaume atajisikia na uhuru pindi akiongea na wewe, sababu atakuona
kama wewe ni mmoja wa mwanaume mwenzao. Wenginge watapenda kusikia ushauri wako wa jinsi ya kumuingia msichana mwingine.

3.
Kama ujawahi kulipiwa nauli katika daladala au usafiri wowote. Unatakiwa kufanya kitu fulani katika muonekano wako.

4.
Kama katika maonyesho ya sanaa shuleni, kanisani. Siku zote wanakupanga ucheze nafasi ya Uchawi, Zimwi au shetani. Tambuwa wewe ni mbaya

5. Wasichana wengi wenye majina mazuri kwenye facebook au jamii forums
kama
Cute, Diva na yanma hiyo. Ki kawaida ni wabaya.

6. Wasichana wabaya hawataipenda hii post na wataweza kukoment kwa hasira.

Siku hizi wanawake wote wazuri aisee, kwa kuwa wanaume wengi wanaangalia maumbo zaidi badalla ya sura. Fanya utafiti mdogo utaniambia.
 
... Naona uwezo wa mwanadam umeaongezeka, hadi kukosoa kazi ya Mungu.
 
Hahahaaa. Nimecheka sana.
Hivi mkuu unajua Remi Ongala alikua ameoa chombo sana? Ukimuambia yule mzungu kuwa mumewe alkua mbaya
(japo alikua anajisema anaongoza kwa ubaya) atakuelewa kweli? Hahahahhaaa.

Ubaya na uzuri ni relative term aisee. Kinadharia ulichokisema kinakifu flani hivi.

NA AKATOA MABINTI WAREMBO TU...

aziza-ongala.jpg
 
KWAKO MBAYA WENGINE WANAWEKA NDANI....
1239796_435642519879401_1594486838_n.jpg
 
NO WOMAN WHO IS UGLY UNIVERSAL....
525412_353269778116676_542917177_n.jpg
533853_280249528752035_1328316107_a.jpg
1393947_467778719999114_399840927_n.jpg

1380825_462500170526969_1535490847_n.jpg
1239860_445479208895732_587862045_n.jpg
1234829_445738702203116_755093823_n.jpg
 
Hahahaaa. Nimecheka sana.
Hivi mkuu unajua Remi Ongala alikua ameoa chombo sana? Ukimuambia yule mzungu kuwa mumewe alkua mbaya
(japo alikua anajisema anaongoza kwa ubaya) atakuelewa kweli? Hahahahhaaa.

Ubaya na uzuri ni relative term aisee. Kinadharia ulichokisema kinakifu flani hivi.
HAJUI LOVE IS BLIND...
1441255_474456935997959_1017193634_n.jpg
 
Wee upewe kwa moyo safi kwan we unamoyo msafi ,, chuma ulete sio kibuyu 2 ata shape mamaa,,
 
Back
Top Bottom