Humorous Junior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 1,599
- 1,422
Iyo ndo tabora mkuu nduguyako kapigwa DAWA huku ni hatari sana aiseee ukimwacha mwanamke alale ndani anakupiga madawa
ALAFU WANA MIZIGO KUFURU
Iyo ndo tabora mkuu nduguyako kapigwa DAWA huku ni hatari sana aiseee ukimwacha mwanamke alale ndani anakupiga madawa
Kote bachu,rufita,chemchem yani kurogwa ni dakikaIla mzee pale Mwanza-road ni balaa kuliko chemchem....wale wanakuroga siku hiyo hyo umemtongoza....