TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,787
- 2,078
Wote wana makosa,.
Mwanamke ndo mwenye kosa kubwa
Wote wana makosa,.
Cheating haina justification.
Mtazamo wako huu!
Mbona unatetea vitu ambavyo hata haviingii akilini? Yaani unamkuta mtu kifuani kwa mwenza wako tena nyumbani kwenu halafu ati maamuzi yazingatie mazingiraah daaah, mbona haya masihara sana. Kati ya maamuzi ambayo hayahitaji 3rd part ni haya, maamuzi ni hapo hapo bila kujali mazingira.
Canta,unapokua na tatizo kumbuka akili haifanyi kazi vizuri,lakini unapokosea linakua ni kosa,kinachotakiwa ni kuangalia mazingira ya kosa kisha mengine yanafuata!
Mwanamke ndo mwenye kosa kubwa
Hilo wala hujanishawishi Eiyer,Canta,ninachosema sio kwamba huyu mama hana makosa ila kosa halijaanzia kwake,yaani amesababishwa akosee,mihemko hasa ya kihisia humfanya mtu ashindwe kufikiri jambo rahihi la kufanya!
Wote wana makosa,
Ila kwa hili namlaum zaidi mke,
Tunaamin siku no matter wat hata km wanaume ndio vichwa vya familia but lzm kichwa kishikiliwe na shingo,
Km mke ameona hapewi haki ya ndoa suluhisho sio kutafuta bwana,
Kwann hakuenda japo kushitaki kwa hao viongozi wa dini kuliko kwenda kujiabisha kwa kujielezea 7bu za uzinzi wake?
KM imetokea amejua mapungufu ya mumewe angetafuta njia halali kurekebisha sio kufanya jambo akidhan anamkomoa kumbe anajidhalilisha mwenyewe.
Kumbe wakati mwingine unaweza ukamsababisha mwenzi wako akakucheat!Sikia hii,.Mke ni mhasibu wa shirika la umeme tanzania Tanesco,mkoa wa Tabora(sio jina sahihi).Mumemi mwajiriwa serikalini,mume huyu amekua bize sana kiasi kwamba kumpata nyumbuni ni bahati labda usiku kuanzia saa 6 usiku.Kwa maelezo ya mkewe ni kwamba mumewe akifika huwa amechoka sana na wakati mwingine hali chakula ambacho mkewe hujitahidi kukipika hata kama nae huwa bize kiasi gani,amejiwekea utaratibu chakula cha usiku lazima apike yeye.Siku ya tukio mumewe alikua amesafiri kwa muda mwezi na nusu kikazi Dar,siku aliyotakiwa kurudi alimpigia mkewe simu kuwa atapitia Shinyanga kwenye semina itakayochukua siku mbili,lakini alipofika Shinyanga akapewa taarifa kuwa semina imeahirishwa,ikabidi ageuze kurudi Tabora,alipofika Nzega akakumbuka hajamjulisha mkewe dharula iliyojitokeza,akaamua kumpigia mkewe simu,lakini ikawa haipatikani,alifanya hivyo mara kadhaa bila mafanikio,akaamua aende tu,kabla ya kufika nyumbani akamkuta mkewe akifanya ngono na kijana ambae anaishi jirani na pale.Ulitokea mtafaruku watu wenye busara wakalizima zogo lile.Yule bwana akasema hamuitaji mkewe,ila wakashauriwa waende kanisani kutatua mzozo kwani walikua ni watu wazima!Kweli walienda ndipo mkewe yule bwana alipofunguka na kudai mumewe amekua hampi haki ya ndoa na kama akimpa ni mara moja kwa wiki mbili na hata hiyo mara moja siyo ya kuridhisha,alipoulizwa mumewe alikubali lakini akadai ni ubize kazini ndo chanzo!Bahati nzuri padri aliwaelesha makosa yao wakaombana msamaha yakaisha.Sasa huyu mwanamke ana makosa?Inawezekana alikosea kufanyia home lakini chanzo cha tatizo ni mumewe!So kucheat kwingine kuna mashiko!
Nakubaliana na ww kwa aclimia zote,na ndicho nilikua najaribu kumwambia Eiyer.