Mwanamke huyu hasikii

Katika kitu ambacho siwez vumilia ni mwanamke mwenyematusi, kama huwezi chunga mdomo wako, ukiwa na dharau ntakupiga kisaikolojia tu.
Hii ni ndoa , na nyumba ndo inatakiwa hiwe sehem safe na yenye raha, USIJARIBU KUSEMA KUWA YEY KAMWAGA MBOGA WEW MWAGA UGALI NOPE, UTATIA DOSARI KUBWA KATIKA FAMILIA NA MAISHA YENU KIUJUMLA.
Ongea kama baba mwenye nyumba, unguruma ongea naye kwa hoja, muelimishe kipi hupendi, akizidi na asipo sikia, hebu act kiume sasa, mchape makofi mawili tu ya mgongoni, period…!
 
Huyo mlenkiboga kwisha kazi. Ukishamkatabpetebvasibhasira zitaisha zote atakuwa kama mlenda
 
Unapoamua kuishi na mtu

Unapaswa kujua mazuri na mapungufu yake.... na kuyakubali...pamoja na kuepuka yale ya kukwazana

Maana hata huyo mwanaume hayupo perfect ndio maana mwanamke hupata hasira

Anyway nimepensa hapo pa mwanamke kulipa kodi....sitaongeza la zaidi
 
Unataka kumponza mwenzio wewe

Katika kitu ambacho siwez vumilia ni mwanamke mwenyematusi, kama huwezi chunga mdomo wako, ukiwa na dharau ntakupiga kisaikolojia tu.
Hii ni ndoa , na nyumba ndo inatakiwa hiwe sehem safe na yenye raha, USIJARIBU KUSEMA KUWA YEY KAMWAGA MBOGA WEW MWAGA UGALI NOPE, UTATIA DOSARI KUBWA KATIKA FAMILIA NA MAISHA YENU KIUJUMLA.
Ongea kama baba mwenye nyumba, unguruma ongea naye kwa hoja, muelimishe kipi hupendi, akizidi na asipo sikia, hebu act kiume sasa, mchape makofi mawili tu ya mgongoni, period…!

Ampige makofi ili afukuzwe kimoja kwenye nyumba, ataishi wapi???
 
kuwa mpole mpaka yeye ashangae halafu onesha kuto kumwitaji kivile mbona naye atakuwa mpole tuu
 
andaa list ya adhabu kwa kila kosa,be fair mjulishe,
mfanye kamademu wako na siyo mke,mfahamishe kuwa wewe upo ready kumtosa akiendelea kukutimua ndani ya nyumba.
Ongeza juhudi ktk tendo la ndoa,inawezekana huna juhudi kama awali,futa michepuko ktk maisha yako na kuwa muwazi kwake usiwe na siri siri zisizo na tija.
USHAURI ABOVE APPLIES ONLY IF U LOVE THE PERSON. anglizo tu
 
Umetumia kigezo gani kufanya hii generalization

Nimeunganisha mtiririko wa vimbwanga, vituko na matukio ya wanawake vinavyotokea au kufanyika zaidi karne hii...na nikatumia fomula ya wengi wape na kanuni ya samaki mmoja akioza, wote watakua wameoza....na kuzingatia wingi wenu na kauli mbiu zenu, za mtu kitu.....
 
Akili ya kuambiwa changanya na ya Kwako!

Back
Top Bottom