Mwanamke hutongozwa taratibu

Mwanamke hutongozwa taratibu

Hapo unakuwa umemtongoza kwa vitendo chief...
you act in a very gentle way.....
kuna type za viumbe hawa huwa hawachomoi ukiwapa special treatment kama hizo....
ie mpeleke hoteli kali unakula mzigo.....
hapo unakuwa umeenda taratibu.....
tofauti ungemchukua uende naye guest moja kwa moja.....
ungeweza chomolewa
Inadepend na mwanamke, sio kila mwanamke ana standard ya hotel, wengine lodge tuu 😂
 
Upo sahihi Kabisa. Kuna bestie wangu.... Mume aliyemuoa mwaka 2019 alianza kumtongoza mwaka 2010 na amekuja kumkubalia mwaka 2018. Kuna watu hawataelewa nilichoandika hapa
bila shaka huyo dem alkuw anamegwa na jamaa mwingne huo ushenz siuwez nimfate ke miaka 8 wakat hat kusumbukia ke mwezi mzma siwez. Kwan mwanamke ni mmoja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi Kabisa. Kuna bestie wangu.... Mume aliyemuoa mwaka 2019 alianza kumtongoza mwaka 2010 na amekuja kumkubalia mwaka 2018. Kuna watu hawataelewa nilichoandika hapa😂🤣😂
Iwapo tu haombi hela ni sawa.
Ila kama alikua analiwa hela, huyo jamaa ni fala, labda awe hajatoa mahari.
 
Iwapo tu haombi hela ni sawa.
Ila kama alikua analiwa hela, huyo jamaa ni fala, labda awe hajatoa mahari.
Jamaa kapenda haswaaaaa.....Wala .... Pesa mbuzi hizi laki 2, milioni 1 sio tatizo kwa Mwanamke. Jamaa Hasikii wala haoni. Tumekula pilau mwaka Jana....... Wanakula Raha kama familia.
 
Upo sahihi Kabisa. Kuna bestie wangu.... Mume aliyemuoa mwaka 2019 alianza kumtongoza mwaka 2010 na amekuja kumkubalia mwaka 2018. Kuna watu hawataelewa nilichoandika hapa😂🤣😂
Mh best eeh!!!
Hebu sema ukweli wewe kama rafiki yake wa karibu
Huyo shoga yako hakuwa analiwa na mtu mwingine huku akiwa anampigisha jelamba jamaa kweli? Sema ukweli.
 
Mh best eeh!!! Hebu sema ukweli wewe kama rafiki yake wa karibu. Huyo shoga yako hakuwa analiwa na mtu mwingine huku akiwa anapigisha jelamba jamaa kweli? Sema ukweli.
Hizo details sina hapa. Huo ndio UKWELI. Topic ya Uzi huu Ni Mwanamke Kutongozwa Taratibuuuu
 
Kama ni hivo basi nishaelewa kwa jinsi ulivo jibu tu inatosha kabisa. Kilichokuwa kinaendelea nishakijua hapo!
Nimegee Basi kidogo rafiki yangu. Nami nijifunze kitu hapo😅😅
 
Hakuna formula kila dem anapenda staili yake. Wapo ambao unaweza tongoza January to December majibu ni dry tu ila ukiweza kumkuta chumbni kwake kitandani hata maongezi hakuna unapewa mzgo kama wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimegee Basi kidogo rafiki yangu. Nami nijifunze kitu hapo😅😅
Hapo lazima kuna uwekezaji fulani ulifanyika mradi mmoja ulipo fell ndipo mradi B ukamuokoa mkandarasi.

Ila mnatufanyiaga kusudi sana nyie, Kuna kipindi yalinikuta dah! Sitasahau.
 
Back
Top Bottom