Mwanamke hutongozwa taratibu

Mwanamke hutongozwa taratibu

Upo sahihi Kabisa. Kuna bestie wangu.... Mume aliyemuoa mwaka 2019 alianza kumtongoza mwaka 2010 na amekuja kumkubalia mwaka 2018. Kuna watu hawataelewa nilichoandika hapa😂🤣😂
Duuh 8 good years si mchezo, watu wavumilivu sana, wengine wanataka katongoza leo kesho mshamaliza kila kitu 😀😀, huyo jamaa ni wa kuigwa
 
Upo sahihi Kabisa. Kuna bestie wangu.... Mume aliyemuoa mwaka 2019 alianza kumtongoza mwaka 2010 na amekuja kumkubalia mwaka 2018. Kuna watu hawataelewa nilichoandika hapa🤣

Huko ni matumizi mabaya ya muda!in short huyo best yako alikuwa hamtaki jamaa ila baada ya kuona wanaume wote wamemuacha ndio akakumbuka msukule wake

Sent using IPhone X
 
Duuh 8 good years si mchezo, watu wavumilivu sana, wengine wanataka katongoza leo kesho mshamaliza kila kitu 😀😀, huyo jamaa ni wa kuigwa

Ewe msweet, huyo mdada ambae ni bestie yako, hampendi huyo mwanaume, ndo maana akamsubirisha miaka 8, mdada aliona wanaume woote anaowapenda, wamemgegeda hlf wamemuacha, na miaka 30 hiooo, huku uzuri wake unapungua, akaona bora tu aolewe na huyo zombi alietongoza miaka 8.. financial services Msweet
 
Upo sahihi Kabisa. Kuna bestie wangu.... Mume aliyemuoa mwaka 2019 alianza kumtongoza mwaka 2010 na amekuja kumkubalia mwaka 2018. Kuna watu hawataelewa nilichoandika hapa😂🤣😂
Yaani miaka saba nakusubiri tu?
 
Ewe msweet, huyo mdada ambae ni bestie yako, hampendi huyo mwanaume, ndo maana akamsubirisha miaka 8, mdada aliona wanaume woote anaowapenda, wamemgegeda hlf wamemuacha, na miaka 30 hiooo, huku uzuri wake unapungua, akaona bora tu aolewe na huyo zombi alietongoza miaka 8.. financial services Msweet
Nakuunga mkono 90â„…
 
😂 Sasa na huyo mwanamke bila pesa si kila siku utakuwa unaleta nyuzi mpya kulalamika kuchapiwa tu mzee, viuno peke ake havitoshi kumtuliza mwanamke, mtafute pesa vijana, nyuzi za kujiliza liza kuchapiwa tushazichoka humu.
Comment nzuri sana hii.
 
Duu miaka nane,.halafu unakuja kukutana na k Ina maji Kama tikitiki..unaweza ukalia aiseee
Upo sahihi Kabisa. Kuna bestie wangu.... Mume aliyemuoa mwaka 2019 alianza kumtongoza mwaka 2010 na amekuja kumkubalia mwaka 2018. Kuna watu hawataelewa nilichoandika hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi kina dem nilimtongoza akanilia hela kwa fujo then akaanza kuniletea dharau nikamtosa sasa hivi naona anaanza kujibebisha nataka nimkubalie halafu nimpige tukio moja la hatari ndani ya 6x6.
 
Back
Top Bottom