Mwanamke hutongozwa taratibu

Mwanamke hutongozwa taratibu

Jamaa kapenda haswaaaaa.....Wala .... Pesa mbuzi hizi laki 2, milioni 1 sio tatizo kwa Mwanamke. Jamaa Hasikii wala haoni. Tumekula pilau mwaka Jana. Wanakula Raha kama familia.

Loooh... Wewe Msweet we una dhambi sana wewe! 😂

Eti wanakula raha kama familia.. wakati unajua fika kabisa hapo anaekula raha ni huyo besti yako baada ya kukitembeza kwa wanaume kama wote hapo mjini na kuona hakuna hata mwenye mpango wa kuoa ndio mkashauriana mumuangushie jumba bovu kijana wa watu..!! Wanawake wabaya nyinyi..!!

Hapo mkikutana mnacheeeeka na kugongesha mikono baada ya mpango wenu wa kifedhuli kufanikiwa..😃 Na najua wewe ulishiriki kwa kiasi kikubwa kwenye kumshauri huyo beste ako.

Hakuna mwanamke anaekupenda anaeweza kukuzungusha miaka 8. Yaani mimi namuonea huruma sana huyo kijana kwakweli, maana anaonekana ni kijana mpole na mstaarabu hakustahili kabisa janga hilo. Unless umshauri huyo besti ako atulie kwenye ndoa maana kama ni kuhangaika ameshahangaika cha kutosha.
 
Upo sahihi Kabisa. Kuna bestie wangu.... Mume aliyemuoa mwaka 2019 alianza kumtongoza mwaka 2010 na amekuja kumkubalia mwaka 2018. Kuna watu hawataelewa nilichoandika hapa😂🤣😂

Na hatutaki kuelewa hasa mm,miaka nane hiyo yotewanamke huyo lazima alikuwa na mwanaume wake ila alivyooochwa ndo akahamia kwa yule jamaaa mvumilivu wa miaka yote.
 
Loooh... Wewe Msweet We una dhambi sana wewe! 😂

Eti wanakula raha kama familia.. wakati unajua fika kabisa hapo anaekula raha ni huyo besti yako baada ya kukitembeza kwa wanaume kama wote hapo mjini na kuona hakuna hata mwenye mpango wa kuoa ndio mkashauriana mumuangushie jumba bovu kijana wa watu..!! Wanawake wabaya nyinyi..!!

Hapo mkikutana mnacheeeeka na kugongesha mikono baada ya mpango wenu wa kifedhuli kufanikiwa..😃 Na najua wewe ulishiriki kwa kiasi kikubwa kwenye kumshauri huyo beste ako.

Hakuna mwanamke anaekupenda anaeweza kukuzungusha miaka 8. Yaani mimi namuonea huruma sana huyo kijana kwakweli, maana anaonekana ni kijana mpole na mstaarabu hakustahili kabisa janga hilo. Unless umshauri huyo besti ako atulie kwenye ndoa maana kama ni kuhangaika ameshahangaika cha kutosha.
Wewe ongea yooooote ila jua kuwa bado kuna wanaume WACHACHE wanaojua KUPENDA.😉😀😉
 
Navyojua wanawake wanaweka sheria na vikwazo kwa watu wasiowapenda au kuwaelewa kivile na kuvunja izo sheria na vikwazo kwa watu wanaowaelewa ie ooh Mimi hauwezi kunitongoza wiki hii alafu wiki ijayo ule mzigo, inabidi twende taratibu, ni mawili either hajakuelewa kivile au skills zako za kutongoza ni weak. Naamini kabisa mwanamke akikutana na mwanaume mwenye sofa zote anazohitaji haleti longo longo hata kidogo, ndio kwanza anakuwa mstari Wa mbele kuseal the deal.
 
Mimi na wewe tunajua kabisa kinachoendelea hapo, na ukweli wa hili jambo. We labda sema ili kuepusha mjadala mrefu kwenye uzi wa wenyewe tuamue tu kuishia hapa.😄
 
Navyojua wanawake wanaweka sheria na vikwazo kwa watu wasiowapenda au kuwaelewa kivile na kuvunja izo sheria na vikwazo kwa watu wanaowaelewa ie ooh Mimi hauwezi kunitongoza wiki hii alafu wiki ijayo ule mzigo, inabidi twende taratibu, ni mawili either hajakuelewa kivile au skills zako za kutongoza ni weak. Naamini kabisa mwanamke akikutana na mwanaume mwenye sofa zote anazohitaji haleti longo longo hata kidogo, ndio kwanza anakuwa mstari Wa mbele kuseal the deal.
Umekata mzizi wa fitina

Nilikuwa najizuia nisi comment chochote jion ya leo ila point yako konki imenigusa ku comment

Bravooool
 
Yani nimwandikie sms ya kwanza asijibu ya pili pia asijibu na yatatu!! Mwe! Hapo huwa najiuliza hivi kwanini naishi..?? 😂
Kama jibu likatoka halafu yeye akawa hana umuhimu ktk kulijibu swali kwanini naishi,Basi swali litakalofuata ni kwanini nina namba ya huyu mwanamke asietaka kunijibu!!😂😂 Hapo jua anguko lake litaishia kwenye delete..
Sijui kwanini huwa nakuwa na kibuli mbele ya watu wasio na interest namimi nitatafuta sababu kichwani yenye logic mpk nimdelete tu maana ukiniona si lolote nakuona si chochote.
 
Hivi shule bado zimefungwa tu?😎

Vijana tafuteni mkwanja wa kutosha tu, watakuja wenyewe mpaka mtaanza kuwakimbia. Watakuja mpaka wake za watu!

NB: UKIMWI UPO NA BADO HAUNA DAWA.
 
Back
Top Bottom