Mwanamke hutongozwa taratibu

Mwanamke hutongozwa taratibu

Mi kina dem nilimtongoza akanilia hela kwa fujo then akaanza kuniletea dharau nikamtosa sasa hivi naona anaanza kujibebisha nataka nimkubalie halafu nimpige tukio moja la hatari ndani ya 6x6.
Mkuu tukio gani la hatari hilo? ,kuwa makini usijepata murder case
 
Yani nimwandikie sms ya kwanza asijibu ya pili pia asijibu na yatatu!! Mwe! Hapo huwa najiuliza hivi kwanini naishi..??
Kama jibu likatoka halafu yeye akawa hana umuhimu ktk kulijibu swali kwanini naishi,Basi swali litakalofuata ni kwanini nina namba ya huyu mwanamke asietaka kunijibu!! Hapo jua anguko lake litaishia kwenye delete..
Sijui kwanini huwa nakuwa na kibuli mbele ya watu wasio na interest namimi nitatafuta sababu kichwani yenye logic mpk nimdelete tu maana ukiniona si lolote nakuona si chochote.
Vipi wale unaopiga simu ya kwanza hapokei
Ya pili hapokei
Ya tatu hapokei

Akipokea anakwambia nipo busy kidogo,nitakutafuta baadae
 
Upo sahihi Kabisa. Kuna bestie wangu.... Mume aliyemuoa mwaka 2019 alianza kumtongoza mwaka 2010 na amekuja kumkubalia mwaka 2018. Kuna watu hawataelewa nilichoandika hapa😂🤣😂
Duuuuu kweli wanaume tunatofautiana sana. Waiting for such long what eventually is he reaping from that pussy? Na ukute kuna livuta bangi tu ndo lilikuwa likimchakaza mbele na nyuma halafu mtu unajiita mwanaume umekaa tu kiboya kusubiria zile za fisi mkono wa mwanadamu unadondoka sasa hivi.......khaaaaaaaa.
 
Kutongoza hakuigwi, Huja Automatically kutokana na she alivyo pamoja na mazingira anayoishi au status yake na hali yako mtongozaji; kiuchumi, kisiasa, kimuonekano n.k unaweza upate tabu au la!
 
Back
Top Bottom