secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,839
- 8,647
Wakuu habari zenu.
Leo nimeamua niweke darasa kidogo hasa kwa wale jamaa zangu wenye midomo mizito kutongoza. Wenye kutongoza haraka haraka na kuishia kupigwa kibuti hasa kwa yule mwanamke wampendaye (sizungumzii changudoa hapa)
Awali ya yote niweke wazi kwamba wanawake karibu wote tabia hufanana (hesabu zangu nimeweka vizuri hapa (almost but not all) wanawake huvutiwa na mwanaume anayejali, mpole na ambaye hutongoza taratibu.
Unaweza ukawa na pesa still ukitongoza bado wanakupiga chini na pesa zako. Silaha ni hii tongoza mwanamke taratibu usiende haraka haraka nyata usijikweze hata kama una mali muache azione mwenyewe in the due course. Kuwa kama unatongoza, unapotezea kupima upepo unasikilizia reaction/muitikio.
Ukiona muitikio upo positive ya kwamba mwanamke ana reply hata kwa mbali tu, iwe kwenye mazungumzo ya ana kwa ana ama simu, jua huyo ni wako. Ukiona response ni almost zero, kimbia huyo sio type yako.
Kwa wale madomo zege nawajenga kisaikolojia hapa kwa mifano. Kamwe usiogope mwanamke. Hawa tulipewa watusaidie majukumu. Ona kama vile ni shamba lako la kuku unaangalia mchana uchinje jogoo ama mtetea, siyo usione aibu.
Zingatia yafuatayo kamwe usitongoze mwanafunzi; pili, msisahau kinga, hasa kipindi hiki cha Covid 19.
Wajuvi wengine mnaweza ku-add chochote.
Angalizo: Hili ni jukwaa la hoja mchanganyiko.
I think I retain the right to make a decision whether this thread should be directed to JamiiForums mapenzi ama hapa.