Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,096
- 34,229
Dakika 16, ila nimetafuta sana nimepata unaoishia dakika 13Mwimbo una dakika 13???????!!!
Ndio mkuuHiyo ni taarab?
Kulikoni?Daaah[emoji134][emoji134][emoji134]
Hayo ni mawazo yakoUnayumba
Zaidi ya dakika 13Wimbo una dk 13 hiyo ni taarifa ya habari ama
Sio huyu.Hivi huyu Mama ndiye aliyeimba #Segere eehh?
Sio huyu.
Ameimba nyimbo kama vile kinyago cha mpapule,Wema hazina kwa Mungu, Roho mbaya haijengi.
Nyimbo za Issa Matona sina mkuu.Aaah.. Kinyago Cha Mpapule naielewa sana ile taarabu..
Kama unataarabu za Issa Matona niwekee hapaa mkuu niburudike
Hatari sana humo ndanijana tu nilikuwa naiskiliza hyo nyimno ina sebene la kibabe sana aiseee, ukiipata usisahau kunitumia na mm