NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,278
- 24,078
Mambo ya pwani udi,uturi na nakshinaksh.
Pwani mnamambo yenu huku bara tanayasoma tu kwenye magazeti.
Pwani mnamambo yenu huku bara tanayasoma tu kwenye magazeti.
Usifanye masihara na taarabu mkuu.Mwimbo una dakika 13?
DuhUsifanye masihara na taarabu mkuu.
Nyie vile viCD vyenu vya VCD mnawekaga video 16, 17 au 18.
Nyimbo za taarabu 4 tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
NaaamMambo ya pwani udi,uturi na nakshinaksh.
Pwani mnamambo yenu huku bara tanayasoma tu kwenye magazeti.
"Wakati wa mwingine huuuUnaonjeshwaa uonjee....Hilo kichapo ukunjwe . Ukae pembeni ujikunjee