Mwanamke hawezi akanirudishia, akithubutu kitawaka...

Mwanamke hawezi akanirudishia, akithubutu kitawaka...

Hatari sana...


Cc: Mahondaw
Ni hatari+++. Hilo kwa mfano ikitokea huku kwetu Umasaini ndani-ndani huku; kama mwanamke aliyethubutu kurudisha hatowahi fasta kukimbia tena kwa mwendo wa spidi ya ngiri, huenda hadithi ikabadilika ikawa nyingine na ya kutisha mno. Kamwe huku wanawake hawathubutu kabisa na sijui kama itakaa itokee. Ni bora mwanamke mhusika aliyekamatika akapiga magoti kwa unyenyekevu mkubwa (huku kichapo kinaendelea) naye anazidi kulia kwa kihoro ""Arasiya bhabhaa, Arasaiya bhaba laii..." yan "nisamehe baba, Nisamehe baba yangu....Nimetubu ...." kuliko arudishe
 
Yule bwana mdogo huwezi kumtia mitama na walinzi wake wanakuangalia jinsi unavyomkanda boss wao huo utakua uongo
Nazungumzia pale anapokuwa Faragha na mume wake.
Hata hivyo; vile vitendo vya kuwapiga wake wetu au wanawake kwa ujumla ni vitendo vilivyopitwa na wakati na ni udhalilishaji mkubwa - havifai.
 
Buku mbele bakuna mahari. Ukileta habari za mahari unaonekana kama unataka kumnunua mtu.
Yeah. Huwa hilo linaweza kujitokeza katika mojawapo ya vikao vya kuunganisha Familia mbili husika i.e. Familia ya Bwana na Familia ya Mke mtarajiwa.
 
Back
Top Bottom