Nina mpenzi wangu anayefanya kazi morogoro mwezi march alikuja kunitembelea coz alikuwa likizo na alikaa kwangu wiki 2.siku 3 tangu afike alishikwa na malaria Kali ikabidi niombe ruhusa kazini ili nimuuguze kiukweli nilimpa kila kitu anachotakiwa kupewa mgonjwa including dawa,vyakula vilivyopendekezwa na daktari na vyakula alivyopenda mgonjwa.pamoja na gari kumpeleka hospitali au sehemu yoyote aliyopenda ili kumliwaza mgonjwa.mungu akasaidia akapona na amerudi morogoro.lakini cha ajabu juzi ananiambia sikumjali alipokuwa anaumwa sababu SIKUWAHI KUMLETEA KADI YA GET WELL SOON.ebu nisaidieni kadi tu ndio mtu akujali
Mi ntajuaje km anataka white/red rose? Au sanamu au ushenzy mwingine?
usijali nitakuwa karibu yako very soon,na nitakuondolea upweke wako.mzima wa afya...ila tatizo langu nimekumiss u mbali na upeo wa macho yangu
usijali nitakuwa karibu yako very soon,na nitakuondolea upweke wako.
usijali. it wont take long mywaaaau usikawie sana ...nafurahi kusikia hivyo huu upweke huu ......
ana pepo kali la tamaa pia inavo onekana anavidumu vingi sana angekua peke ake uko alipo angepata vingi zaidi ya wewenina mpenzi wangu anayefanya kazi morogoro mwezi march alikuja kunitembelea coz alikuwa likizo na alikaa kwangu wiki 2.siku 3 tangu afike alishikwa na malaria kali ikabidi niombe ruhusa kazini ili nimuuguze kiukweli nilimpa kila kitu anachotakiwa kupewa mgonjwa including dawa,vyakula vilivyopendekezwa na daktari na vyakula alivyopenda mgonjwa.pamoja na gari kumpeleka hospitali au sehemu yoyote aliyopenda ili kumliwaza mgonjwa.mungu akasaidia akapona na amerudi morogoro.lakini cha ajabu juzi ananiambia sikumjali alipokuwa anaumwa sababu sikuwahi kumletea kadi ya get well soon.ebu nisaidieni kadi tu ndio mtu akujali
Usichoke baba ni mambo ya wanawawake sometimes inabidi kuwadekeza aidha ulimzoesha hivyo kwahiyo usipofanya anaona hujamtendea haki.but also u can tell her politely kwamba moyo wako na vitendo ulivyofanya nia zaidi ya kadi kwani kuumwa did just happen hakuna aliepanga yatokeeNina mpenzi wangu anayefanya kazi morogoro mwezi march alikuja kunitembelea coz alikuwa likizo na alikaa kwangu wiki 2.siku 3 tangu afike alishikwa na malaria Kali ikabidi niombe ruhusa kazini ili nimuuguze kiukweli nilimpa kila kitu anachotakiwa kupewa mgonjwa including dawa,vyakula vilivyopendekezwa na daktari na vyakula alivyopenda mgonjwa.pamoja na gari kumpeleka hospitali au sehemu yoyote aliyopenda ili kumliwaza mgonjwa.mungu akasaidia akapona na amerudi morogoro.lakini cha ajabu juzi ananiambia sikumjali alipokuwa anaumwa sababu SIKUWAHI KUMLETEA KADI YA GET WELL SOON.ebu nisaidieni kadi tu ndio mtu akujali
hebu ondoa haraka sana hiyo kanga moko!!!!!
nimeitoa,sema lingine!
Ondoa wasi anataka uzidi kumjali, anakuonyesha mahaba na anahitaji mahaba zaidi kutoka kwako na kulakiwaNina mpenzi wangu anayefanya kazi Morogoro, mwezi march alikuja kunitembelea sababu alikuwa likizo na alikaa kwangu wiki 2 na siku 3 tangu afike. Alishikwa na malaria kali ikabidi niombe ruhusa kazini ili nimuuguze.
Kiukweli nilimpa kila kitu anachotakiwa kupewa mgonjwa including dawa,vyakula vilivyopendekezwa na daktari na vyakula alivyopenda mgonjwa, pamoja na gari kumpeleka hospitali au sehemu yoyote aliyopenda ili kumliwaza mgonjwa. Mungu akasaidia akapona na amerudi morogoro.
Lakini cha ajabu juzi ananiambia sikumjali alipokuwa anaumwa sababu sikuwahi kumletea kadi ya get well soon. Ebu nisaidieni kadi tu ndio mtu akujali?
Hilo ni darasa zuri kwako,wanawake hawahitaji vitu vya gharama bali wanahitaji upendo.
Nadhani hilo ni fundisho kwamba mke unaweza kumpa hata karanga za sh.100 akakuona wa maana kuliko yule anayeleta matumizi ya nyumbani mengi lakini hana muda wa kutosha kuongea na mke wake.
Nina mpenzi wangu anayefanya kazi Morogoro, mwezi march alikuja kunitembelea sababu alikuwa likizo na alikaa kwangu wiki 2 na siku 3 tangu afike. Alishikwa na malaria kali ikabidi niombe ruhusa kazini ili nimuuguze.
Kiukweli nilimpa kila kitu anachotakiwa kupewa mgonjwa including dawa,vyakula vilivyopendekezwa na daktari na vyakula alivyopenda mgonjwa, pamoja na gari kumpeleka hospitali au sehemu yoyote aliyopenda ili kumliwaza mgonjwa. Mungu akasaidia akapona na amerudi morogoro.
Lakini cha ajabu juzi ananiambia sikumjali alipokuwa anaumwa sababu sikuwahi kumletea kadi ya get well soon. Ebu nisaidieni kadi tu ndio mtu akujali?
pm nikwambie
Kweli upele huwakuta wasio na kucha!kuna wengine tuna umwa licha ya kuishi mbali mbali ukimjulisha mpenzi wako hata kujali haonyeshi ndo kwanza anakuambia "ugua pole bwana"hapo hatakujulia hali tena mpk wewe mgonjwa ujieleze tena maendeleo yako.analalamika kitu kidogo ana acha kushukuru kwa mazuri makubwa!