Ibrahim K. Chiki
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 594
- 163
jamaa mmoja leo kama dakika kumi zilizopita alipita mtaani kwetu huku akimshushia kipigo mkewe kwa mikanda.ngumi na mateke hadharani....ila kwa ujasili wanaume kadhaa tukaungana na kufanikiwa kumkamata na kumwadhibu huku watoto wakimwimbia wa mwanamke hapigwi....kiukweli kwangu ni la kishujaa na nimefurahi kuona vijana tunaweza kua wapigania haki ikiwa tuu tutajua na kutambua wajibu wetu...........ujumbe....timiza wajibu wako ili uweze pata haki yako. tuamke.