Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,474
Hili la mwisho lilinipata mie hadi leo simuamini yeyote.Mara nyingi urafiki wa mwanamke na mwanaume unapofika swala mwanamke anapomwomba mwanaume amkopeshe hela unaishiaga pabaya. Kuna mambo matatu yanaweza tokea.. urafiki ukavunjika na hela usipewe, ukapewa hela ila hamtakua tena kiviile, au ule papuchi na ndio imekula kwako.