usijekufanya hilo kosa hata siku moja, ama la utawajua wanawake wakoje.Ni washirikishe wanaume wenzangu kwenye hili!
Kuna mwanamke mmoja ni rafiki yangu kwani tulisoma nae pale IFM na sasa hivi anajishughulisha na biashara za pikipiki.
Kuna siku alinipigia simu kuwa nimkopeshe pesa kuna mzigo wake ulikwama bandarini ilikuwa mwaka jana mwezi wa 8.
Nakwambia leo ndo nimelipwa kiasi kilichokuwa kimebaki. Nilimkopesha milioni 5. Ila ndio hivyo tena kwa kumbembeleza sana.
Kwahiyo wanaume wenzangu mwanamke anapewa pesa sio kukopeshwa mjifunze atakuzungusha mpaka ukome, kama ulikuwa na malengo yako yanavurugika.







Lakini kubali kusubiri sana, wanawake waliowengi ukiwakopesha hawarejeshi na ikitokea basi si kwa wakatiKweli..! Asante mleta mada...nimemkopesha mdada mmoja 500000 ni miezi miwili sasa imepita anazingua ...kulipa anasema tuzungumze vizuri ...huku akiwa na dalili zote anipe papuchii....nimegoma kukutana naye mpaka anipe fedha YANGU akinilipa tuu...namla sasa staki ...mpaka hela irudi.
Asiee hili ni kweli kabisa, kuna mama mmoja hivi nilizaaga na mdogo wake nilimkopesha hela toka mwaka juzi hana hata dalili za kulipa. Na mm nilisha hesabu maumivu
ndo wewe yule mambo sasa polisi.....???Unaanzaje kumkopesha mwanamke ambaye una ukaribu naye
Siyondo wewe yule mambo sasa polisi.....???
Analipa??Kweli..! Asante mleta mada...nimemkopesha mdada mmoja 500000 ni miezi miwili sasa imepita anazingua ...kulipa anasema tuzungumze vizuri ...huku akiwa na dalili zote anipe papuchii....nimegoma kukutana naye mpaka anipe fedha YANGU akinilipa tuu...namla sasa staki ...mpaka hela irudi.
Analipa?hahahaha kuna demu nilimkopeshaga elf15 mwaka jana hv mwez wa 11 sku namkumbusha et ananiambia nakuja unit*#@be tumalizane asee ilibid niwe mturivu tu