Mwanamke hakopeshwi pesa na mwanaume

Mwanamke hakopeshwi pesa na mwanaume

images (4).jpeg
 
Mi nishapoteza marafiki kama 4 hivi ila wote ni men, mi mwanamke pesa ndefu simkopeshi mwisho 20 napo nahesabu kama nimetoa msaada
 
Hata wanaume tena ndg hapo ndo balaa me nilimkopesha mjombangu mwaka jana mwezi wa 4,mpaka leo cjapewa hata ten sasa cha ajabu simu yangu hapokei wala sms hajibu,waaminifu wa kulipa madeni hii miaka hawapo kabisa tena ukidai sana anakwambia nenda mahakamani
Nimemkopesha dada angu flani naona kimyaa bado
 
Mwaka 2012, kuna mdada mmoja mapema asubuhi alinipigia simu akilia kuwa anashida kubwa na hapo alipo amechanganyikiwa anadaiwa shuleni. Na amempigia mama yake anaemsomesha na kujibiwa kuwa anaumwa hivyo hana hata mia... Nikafikiria nimpotezee au nimsaidie, nikamjibu, kuwa labda baadae ntakufikiri, nikaamua nimpotezee coz nilijua hiyo hela nikimpa hataweza kurudisha nawajua vizuri wanawake.... Mdada hata hivo baadae hataki kusubiri kila baada ya nusu saa anapiga simu, mwishowe nikalainika nikamtumia 270,000/, kati laki 3 aliyokuwa ananikopa. Alinishukuru sana sana hadi analia, nikatambua kweli alikuwa na shida... Asubuhi yake siku ya pili akanililia tena kuwa popote hawezi pata 30 elfu kwakuwa yuko darasani na akija likizo atajua cha kufanya ili anirudishie fedha zangu, nikamtumia tena ikajaa laki 3.... Ikapita miezi 2 amekata mawasiliano na cm yake haipatikani.... Mwezi wa 3 nakumbuka ilikuwa July 27 jioni akanipigia cm na kuomba tuonane, yeye alikuwa kwa mjomba wake, nikamfuata huko. Nikamkuta ananisubiri getini akanikumbatia sana na kunishukuru kwakumkwamua siku ile. Akaomba nimpeleke mahali tukanywe chai ( kwa arusha kipindi hicho baridi ilikuwa kali sana). Nikakaa nae hadi saa 4, nikaona km vile kaaga na hataki kurudi nyumbani. Nikaomba bas nitafute mahali pazuri tulale hakuwa na kipingamizi, nikamwuliza vp kwa mjomba umeaga? Akasema ameaga anaenda kwa mama na huko kwa mama anajua yuko kwa mjomba, nikapotea nae hapo katikati.... Karembo kangu hako nikakashughulikia usiku kucha kwakweli yuko vizuri ni mara chache ukamkuta dem mzuri alafu napo kitandani akawa mzuri pia. Kulipokucha asubuhi nikawaza tayari laki 3 ndo imeyeyuka sintalipwa tena abadan, nikaifuta akilini hilo deni.... Tukaenda kunywa supu alafu baadae yeye akaenda kwa mama yake. Tangu mda huo akawa ndo mpenz wangu na yeye akatokea kunipenda sana... Nikaja kuachana nae baada ya mwaka na nusu hivi. Akaenda chuo akamaliza na kwasasa anapiga mzigo ktk radio fulani na ameolewa na mjeda. Ila nammis kiukweli.... Mwanamke usimkopeshe utaumia moyo sana, bali mpe bure nusu ya hela aliyoomba au mnyime kabisa km unaubavu huo.
 
Mie nilikopaga nikalipa nusu, jamaa akanisamehe zilizobaki lkn alinichimba mkwala!
 
Mie hiyo habari ya kukopeshana na wadada nmeacha toka mwaka jana...hawalipi kbs.
 
Hakuna wepesi wa kulipa deni iwe kwa mwanamke au mwanaume. Nina ushahidi wa kutosha. Naliogopa sana deni,maana unapokwama kulipa unapunguza uaminifu kwa mdai wako.
 
KUMPA AU KUMKOPESHA HELA MWANAMKE NI JANGA KUBWA,HAWA VIUMBE HUWA HAWANA SHUKRANI
Si kweli....

Uzito wa kulipa deni uko pande zote bila kujali jinsia. Labda useme kwamba huyo mtu mmekopeshana kwa kivuli gani. Kama umemkopesha kama mpenzi wako nadhani hapo utajilaumu. Sema mpenzi hakopeshwi.
 
Back
Top Bottom