Mwanamke hakopeshwi pesa na mwanaume

Mwanamke hakopeshwi pesa na mwanaume

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,497
Reaction score
605
Ni washirikishe wanaume wenzangu kwenye hili!

Kuna mwanamke mmoja ni rafiki yangu kwani tulisoma nae pale IFM na sasa hivi anajishughulisha na biashara za pikipiki.

Kuna siku alinipigia simu kuwa nimkopeshe pesa kuna mzigo wake ulikwama bandarini ilikuwa mwaka jana mwezi wa 8.

Nakwambia leo ndo nimelipwa kiasi kilichokuwa kimebaki. Nilimkopesha milioni 5. Ila ndio hivyo tena kwa kumbembeleza sana.

Kwahiyo wanaume wenzangu mwanamke anapewa pesa sio kukopeshwa mjifunze atakuzungusha mpaka ukome, kama ulikuwa na malengo yako yanavurugika.
 
Mara nyingi urafiki wa mwanamke na mwanaume unapofika swala mwanamke anapomwomba mwanaume amkopeshe hela unaishiaga pabaya. Kuna mambo matatu yanaweza tokea.. urafiki ukavunjika na hela usipewe, ukapewa hela ila hamtakua tena kiviile, au ule papuchi na ndio imekula kwako.
 
Asiee hili ni kweli kabisa, kuna mama mmoja hivi nilizaaga na mdogo wake nilimkopesha hela toka mwaka juzi hana hata dalili za kulipa. Na mm nilisha hesabu maumivu
 
Inategemea n.a. utaratibu wa mkopo. Ukimtoa kishikaji itakula kwako.

Mpe kwa taratibu zote za mkopo-maandishi,dhamana n.a. shuhuda ya mwanasheria.Kama hataki asepe zake.
Sawa kabisa.
 
Tunachofanya ni kumkopesha kiasi cha hela ya kuja kuwatumia halafu yanaisha.
 
Kweli asee mimi kuna dada mmoja tumeishi nae mtaa mmoja.. Nilimpa pesa kama mkopo.. Mpaka nnavyo ongea hivi sijalipwa napigwa sound balaa imebidi nikae kimya siku akijisikia atanipa...
 
Saa nyingine muwe mnaangalia watu wa kuwakopesha. C wote wanafaa. Haswa mwanamke ambae una urafiki nae, epuka sana kumkopesha huwa ni wagum kutudisha.
 
Japo hata wanaume kwa wanaume kukopeshana huleta shida wakati mwingine, lakini kwa mwanamke mara nyingi sana mwisho wake huwa siyo mzuri japo siyo wote, pia hutegemea ukaribu wenu mmeujenga kwa msingi wa aina gani.
 
Hatari sana kuwakopesha hawa viumbe, mara nyingi mwisho huwa mbaya.
 
Niliwahi kumkopeha mama mmoja jirani yangu laki 3, nikidai sound zinakuwa nyingi huku akijilengesha nigegede nikajua hapa nikigegeda tu silipwi, ni kama nimenunua papuchi kwa laki 3, nikakomaa mpaka akalipa kwa tabu na baada ya kulipa ndiyo habari za kugegedana zikaendelea.
 
Hata wanaume tena ndg hapo ndo balaa me nilimkopesha mjombangu mwaka jana mwezi wa 4,mpaka leo cjapewa hata ten sasa cha ajabu simu yangu hapokei wala sms hajibu,waaminifu wa kulipa madeni hii miaka hawapo kabisa tena ukidai sana anakwambia nenda mahakamani
 
Kweli asee mimi kuna dada mmoja tumeishi nae mtaa mmoja.. Nilimpa pesa kama mkopo.. Mpaka nnavyo ongea hivi sijalipwa napigwa sound balaa imebidi nikae kimya siku akijisikia atanipa...
Muitee akulipee cha katikati..
 
Back
Top Bottom