Mwanamke haaminiki

Una Akili sana wewe mtoto.
 
Duuuh, hadi mamako mzazi mnafiki pamoja na kukubeba miezi tisa kwenye tumbo lake???asee wanaume ni viumbe wa ajabu na huwa hamna shukrani hata mfanyiwe jema gani bado mna roho ngumu mnoooo...Mungu awasamehe kwani hamjui mlitakalo.
 
Mkuu.....
Kwa umri wa miaka 18, huyo bado ni msichana.
Naomba nisimjadili kwakweli
 
Duuuh, hadi mamako mzazi mnafiki pamoja na kukubeba miezi tisa kwenye tumbo lake???asee wanaume ni viumbe wa ajabu na huwa hamna shukrani hata mfanyiwe jema gani bado mna roho ngumu mnoooo...Mungu awasamehe kwani hamjui mlitakalo.
Kwa hiyo ww unambishia Mungu alieviumba?
 
Mkuu usiniquote tofauti inategemeana tunatofautiana katika uelewa, but all in all Do not trust a Woman.. Sasa kama wanawake wapo wa aina tofauti basi utaniambia..

Hata vitabu vitakatifu vimeelekeza ishini kwa akili sasa kama alitofautisha sijui
Kwa hiyo wewe mama yako humuamini kabisa? Au ulimaanisha nini kwa sentensi hiyo
 
kwavile imekutokea ww usiaminishe na wengine,,mbna kuna watu wanatulia na watu hao safii tu,,
 
Pamoja na mama yako?
 
Hakuna mstari wa kitabu cha mithali unaosema " ishini na wake zenu kwa akili"... We pia inaelekea huaminiki hausemi ukweli
Labda kasahau ni kitabu kipi cha Biblia lakini maandiko hayo yapo kweli kwenye Biblia wala hajakosea.
 
Yaani huyo mmoja uliekutana nae ndio useme hawaamini including mama yako mzazi
 
True, akili kumkichwa tu
 
Kwa hiyo wewe mama yako humuamini kabisa? Au ulimaanisha nini kwa sentensi hiyo

Aisee kusema ukweli simuamini zaidi ya kumuamini kwa kunizaa tu hahahahah Do not qoute me through your mind Najijua mwenyewe..
 
Jina lako lenyewe ni majanga wewe mwenyewe ni jipu.

Pumba.fu sana weye.
 
Binadamu yeyote si wa kumwamini... Awe mwanamke au mwanaume.... Sema tu "Mwamba ngoma huvutia upande wake!"
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…