IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,033
- Thread starter
- #41
Sikutishii ila ukiolewa utaelewa nisemachoUkaamua kutuletea thread ya kututisha ili tusiolewe mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikutishii ila ukiolewa utaelewa nisemachoUkaamua kutuletea thread ya kututisha ili tusiolewe mkuu
Hahah kumbe iwe uzingua hongeaa mndee! Nzaeka ukoofi kumbe u nyokwe wa wanthu.Eiiish usikariri mambo za jf nzuga aha nzaolewa imi, na uzee huu nzati kuolewa kweiii!
Huyu ndezi anataka kutufanya wote mabwege humu na mapigo zake za ki manta.
Arudishe kadi aisee, a man does not behave in this manner!Ustaadh IKIRIRI tumekufuta kwenye chama chetu cha Mwanaume Jembe kuanzia leo.Uwe mwepesi wa kurudisha kadi na mavazi yote uliyoamrishwa kuyavaa.Sirudii.
Eenh nyokwe ya watu [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tukiingia jf tujidogiisha kumbe ni vivyee vya 55Hahah kumbe iwe uzingua hongeaa mndee! Nzaeka ukoofi kumbe u nyokwe wa wanthu.
Tuacheeeeeee
Acha kupiga kelele leo zamu yenu Asante IkiririEdit hapo kwenye "sisi wanaume" weka 'mimi' usinijumlishe kwenye wingi ambao sipo,najiamini nipo sahihi kwa kila ninalofanya kwenye ndoa kama mapungufu unayo wewe ni wewe usituingize tusiohusika.
Wewe ni wale dizain mke anakosea msamaha unaomba wewe magoti unapiga wewe na machozi unamwaga.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Ikiriri leo kaamua kutumbua majipu naona mnaugulia kwa maumivuUstaadh IKIRIRI tumekufuta kwenye chama chetu cha Mwanaume Jembe kuanzia leo.Uwe mwepesi wa kurudisha kadi na mavazi yote uliyoamrishwa kuyavaa.Sirudii.
Mtakaa naye hukohuko kwenye makambi ya wakimbizi.Kwenye chama chetu cha "Mwanaume Jembe" hatakiwi.Na amepewa notification arudishe kadi na mavazi.Atajicheki!Acha kupiga kelele leo zamu yenu Asante Ikiriri
Kosa lake liko wapi kwenye mada yake mkuu haiwezekani aludishe kadi 😀😀Mtakaa naye hukohuko kwenye makambi ya wakimbizi.Kwenye chama chetu cha "Mwanaume Jembe" hatakiwi.Na amepewa notification arudishe kadi na mavazi.Atajicheki!
He seems to have lost all masculinity characters hence being unable to focus well!And,we mean it all!Kosa lake liko wapi kwenye mada yake mkuu haiwezekani aludishe kadi 😀😀
Hahah kweli mkuu hata ukichunguza vizuri mara nyingi thread anazozianzisha humu anaonekana ni mwoga sana wa maisha.Kwani Mkuu hujawahi sikia Watoto Wa Mama ambao wanavikwa kanga. Basi mtoa mada bi mmoja wao
Remmy ongalaView attachment Remmy Ongala L Orchestra Super Matimila - Arusi Ya Mwanza.mp4Hahah kweli mkuu hata ukichunguza vizuri mara nyingi thread anazozianzisha humu anaonekana ni mwoga sana wa maisha.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk