Mwanamke epuka mwanaume anaekupaka mate

Hakuna sehemu yenye vijidudu vya magonjwa Kama mdomoni.
Bahati mbaya sana wanaume wengi hawawezi kufanya mapenzi bila kutumia mate Jambo ambalo linawaacha wanawake wengi na maradhi ya ukeni baada ya tendo. Na hatuelewi Ni kwanini maana huko panalainika penyewe
Wanaume eleweni mnapotuwekea mate tunaenda kupata hasara ya kujitibu fangas na bacteria .mbaya zaidi hata hiyo hela hamtoi.
Kama unaona haingii bila mate jua hiyo sio size yako acha tafuta ingine.

Tuma order karibu tukuhudumie
"Bahati mbaya wanaume WENGI hawawezi kufanya mapenzi bila kutumia mate"... Hapa umetumia uzoefu wako binafsi, ahsante kwa taarifa

"Tuma order karibu tukuhudumie" ... Hapa umetoa tangazo la biashara... Yaani hao wanaume wengi bado hawajakamilisha utafiti wako??

LORD HAVE MERCY!
 
Wanawake wenzio jinsi wanavyo penda kupigwa Deki. ..lazima watakuona adui yao kwa huu ushauri unaowapa. ...Ngoja waje upo-romoshewe Tsunami

Wamesha kuona Nia yako sio nzuri wewe ''unataka kuwa kosesha Utamu
Ila kiukweli kabisa mate sio mazuri hii staili ya kujazana mate hapana..... Nishauguzaga fangasi sababu ya kutumia mate kama kilainishi...... Niseme tu mate ni adui wa kule chini
 
Hakuna sehemu yenye vijidudu vya magonjwa Kama mdomoni.
Bahati mbaya sana wanaume wengi hawawezi kufanya mapenzi bila kutumia mate Jambo ambalo linawaacha wanawake wengi na maradhi ya ukeni baada ya tendo. Na hatuelewi Ni kwanini maana huko panalainika penyewe
Wanaume eleweni mnapotuwekea mate tunaenda kupata hasara ya kujitibu fangas na bacteria .mbaya zaidi hata hiyo hela hamtoi.
Kama unaona haingii bila mate jua hiyo sio size yako acha tafuta ingine.

Tuma order karibu tukuhudumie
Last line is a good line, noted.
 
Early in the morning unawaza kupakwa mate...!!
Yani unasahau kwamba watu tupo makazini na unatutoa kwenye mstari....
Ndo hapo mkuu, mwenyewe nipo kwa kazi afu mawazo ya ajabu ajabu yananijia. Shetani toooka ila usiende mbali🤔
 
Elitwege Ufipa wamekukosea nini??
Hata kwenye ngono upo, ushoga kumpakazia TLisu upo.
Unalipwa ngapi per diem.
Wewe mtwana wa Lumumba unatia kinyaa!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ila kiukweli kabisa mate sio mazuri hii staili ya kujazana mate hapana..... Nishauguzaga fangasi sababu ya kutumia mate kama kilainishi...... Niseme tu mate ni adui wa kule chini
Kwahiyo hupendi kupigwa deki?

Afu na wewe ilikuwaje ukatoka na njemba isiyopiga mswaki?
 
Tangu Adam na Eva hichi kilainishi hakijawahi kuexpaye so tuache, ila epukeni mabwana watumia ugoro.
 
oh she sweet but a psycho , a little bit psycho cuz at night she screaming "I'm-ma-ma-ma out my mind"
 
Hakuna sehemu yenye vijidudu vya magonjwa Kama mdomoni.
Bahati mbaya sana wanaume wengi hawawezi kufanya mapenzi bila kutumia mate Jambo ambalo linawaacha wanawake wengi na maradhi ya ukeni baada ya tendo. Na hatuelewi Ni kwanini maana huko panalainika penyewe
Wanaume eleweni mnapotuwekea mate tunaenda kupata hasara ya kujitibu fangas na bacteria .mbaya zaidi hata hiyo hela hamtoi.
Kama unaona haingii bila mate jua hiyo sio size yako acha tafuta ingine.

Tuma order karibu tukuhudumie
kwa hiyo wewe nashauri vipi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahahaha usimpake mate mwenzio....

Halafu mwambieni mzee baba tunataka makaburi yote, monchwari, bahari, wamakonde, vyote hivyo vihamie chato..... Uzalendo kwanza

Taarifa hii ataipata Ngoja tumalize chato stadium hili ivutie watalii alafu tutakuja ntwara kuwachukua ninyi.

Nasubiri share yangu kama stakeholder wa Mradi (maelezo).
 
Back
Top Bottom