Mwanamke Booobaaaa.....πŸ‘©πŸ½β€βš–οΈπŸ‘©πŸ½β€πŸ«πŸ‘©πŸ½β€πŸ³ πŸ’ͺ🏽

Wewe acha utundu usije kumuua bure
Siombi lakini


Sent from my SM-G570F using Tapatalk


Hahahhahahahahaaa naanzaje kumuua nimpendae??

Hivi utamu huwa unaua??!

Kasie sio mtundu banaa, yuko mpoleee, mkimyaaa....

Sensema malunde sensema sensema.
 
hiyo tabia sio nzuri homie, habari za mwaka mpya?


Hahahahahahaa yaani mnuno ndo unaongezeka, new year leo..... Almost April looh.......

Aku sitakiiiiii, menunaaaa.

K' Matata.
 
πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹ naamini kbs shemu Dadii anakufaidiiiπŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹...!πŸ˜…πŸ˜…βœŒβœŒβœŒ

Hahahaaaaaa amesoma hapa ametabasamu, yeah ananifaidi aiseeh. Hata mimi simuachi salama, makirikiri mwanzo mwisho.

Kasie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…