Mwanamke bila kumdanganya hamna kitu

Wanawake wana akili za kutosha kutambua uongo wa maneno, wasichokitambua ni uongo wa matendo...kwamba ukimletea zawadi atajua ni yeye tu huwa unamletea, ukimkaza vizuri atajua ni yeye tu ndo huwa unamkaza vizuri nk. hizi ndo sound za kiutu uzima, ila maneno wanagundua kuwa unaongopa!
 
MKuu tatizo hawa wakuu wanadhani nimekurupuka kuleta huu uzi
 
Mkuu heading ya post ni kuhusu uongo,na nilichoongea hapo ni uongo[emoji3] [emoji3]
Au wewe ushaona smile tamu kama strawberry??
Karibu JF
Huyo anakutisha wakati watu wanarudi humu jf kushukuru wamepata mke mwema[emoji23] [emoji23]
 
Nijuavyo siasa ndio uongo lkn mapenzi ni ukweli na uaminifu. Lkn inategemea perception yako ktk mapenzi, chochote chenye msingi wa ukweli kinadumu lkn msingi wa uongo ni dhaifu.

Vv
Mkuu we endelea tu itikadi zako hizo za kutumia nguvu kubwa kukubaliwa
 
Jamaa akachapa kiulaini kabisa mtoto mkali.
 

Uyo demu alikua naye ndondocha mkuu
 
Umeona mkuu uongo muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…