Mwanamke bila kumdanganya hamna kitu

Hiyo kwenye red ipo kwenye BANDO YA UWONGO,UWONGO SI MANENO TU
 
Wewe mwenyewe Kichwa Kichafu lazima udanganye tu
 
Reactions: SDG
Kama ilivyo demu inabidi umdanganye ili umgegede mwanaume yeye udhaifu wake upo kwenye kuona ndo maana wanawake wanaweka make up shida itakuja ukweli umejurikana na ile make up imeondolewa weee[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hizo skills za kujua au kung'amua kuwa mnadanganywa ni kweli mnazo sana,lakini japo mnajua mnadanganywa still mnaelekea KIBLA
Kweli sana mkuu ila ukikurupuka na ukweli[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…