Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

Muwe na vyanzo vya kipato, dunia ya sasa kuomba au kutegemea kupewa ni kujidhalilisha. Mtu akupe kama bonus ila isiwe hata vocha ya 5k tu mtu unahaha.

Mume ana wajibu ila mpenzi hapana, msijishushe sana, vanyeni kazi ni zama za kibepari.
 
dah,
wanawake wengine ni vichomi sana just imagine demu kama huyo umshikirike plan za kiuchumi
Yule alikuwa anajua napata hela ila hajawahi kujua ni kwa kiasi gani. Nilivyombwaga alituma hadi marafiki zake kuokoa jahazi lakini wapi. Sina bahati ya kukutana na wapiga vizinga ila huyu ni moto wa kuotea mbali ila ni pisi kweli ni kazuri kila idara shida ni akili tu hamna anawaza kuvaa kupendeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…