Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

Unajua nimekaa na imagine Kuna raha ya kupata mwanamke ambaye siku ukikwama atakuinua kwa namna moja au nyingine,
Fikiria unakuwa na mwanamke ambaye anaamini yeye ni pambo la nyumba na itabidi apewe kila kitu.
Hata kama mwanamke hana kazi basi itapidi aweze kuwa productive kiasi kwamba unaweza kumpa shughuli akafanya akakuzalishia pesa.

Swali ni je.
MWANAMKE AMBAYE NI LIABILITY UNAMPATAJE ?
 
Hakuna mwanaume ambae hatoi hela, nakataa!
Ukiona mwanaume hakupi hela jua hakupendi.

Wanaume wanatoa pesa linapo kuja suala la wanawake.

Humu wanaongea tu ila uhalisia wanaujua.

Kwanza mwanaume kumpa pesa mwanamke kuna leta feeling flani amazing sana. Best feeling.

Kama hupewi pesa basi tena jamaa hakuelewi πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…