Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,018
- 113,900
Mahari yake napokea kwa awamu ya kudunduliza
π€£π€£π€£eti muujizaHii ni self golden chance, haina haja ya muujiza wa Mwamposa
ππ hamna shida kwa huyu hata 90% ya mahari ntalipa at once budaMahari yake napokea kwa awamu ya kudunduliza
Khaaaa π€£π€£Mahari yake napokea kwa awamu ya kudunduliza
si sawa mamy?πKhaaaa π€£π€£
Mwanaume yoyote ana mwanamke wake anaempa pesa tena bila hata kuombwaBasi itakuwa mimi nina tatizo somewhere kichwani kwangu, kwasababu napenda na nafurahi kumpe mke wangu pesa hata kama sio nyingi, ila kuna furaha flani napata na huwa haniombi ombi
Usiogope πsi sawa mamy?π
Mashallah πUsiogope π
Unapenda watu wakipendanaNa-wish hivi iwe real yaani π
Ipo hivyoYeah, naunga mkono hoja β
kaka, kunguru anafugika mpe makange tu na piga spakos za kwenda, akijichanganya kosa dogo sana kabia juu ndo ile kesi ya kuku unauza ng'ombe makofi ngumi ndo booster ya ndoaKunguru hafugiki kamwe!
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Ukimpata wa kukuchezea ndio shida inaanzia hapo na kumjua ni ngumuMarisktaker huwa tunafanya kununua hata kabla ya kupata chochote.
Wengine giving ni nature yao tu.
Sasa hapo inategemea na mtu unayempa.
Its gud kwakweliSana yaani π
Hutaki au ?Khaaaa π€£π€£
DuhMkuu utakuwa shujaa wangu wa mwaka 2026 πππ