miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
Loh unataka kuhalalisha uzinzi
Dahh,,,,, hii inatisha sana kuna jamaa alikuwa anampenda sana mwanamke mmoja mtaani kwao, ,kiukweli yule mwanamke alikuwa mzuri wa kupindikua yaani tunaweza kusema ( very,very beautiful ),,,, basi kutokana na uzuri wa yule mwanamke ,,,,na wanaume wasivyokuwa na dogo walianza kumfatilia lakini wote alikuwa akiwakataa, ,,,,basi akatokea kijana mmoja tajiri akaanza kumfatilia lakini yule binti alikuwa akimkatilia lakini kijana alikomaa kwa muda mrefu sana hadi yule binti akaona amkubalie,, basi watu wote walishangaa sana kuona jamaa kakubaliwa na yule msichana mrembo, ,,,basi jamaa akatoa mahali na kila kitu kinachotakiwa na kufunga ndoa na yule binti basi wapendanao hao wakaenda kwao na kuanza kufanya mambo yao cha kushangazaa kumbe yule mwanamke alikuwa ana k**ma bali alikuwa na ka tundu tu kadogo ka kukojelea, ,,,,je, ,we umejifunza nini?
Mi mzima kabisa kaka...!
Vipi za wa nyumbani kwako!??
Wanawake dizine hiyo nikweli wapo, hata huku mtaani kwetu yupo mama mmoja inaesemekana anatatizo kama la huyo huyo binti aliye kwenye hiyo story yako. Ispokua sio kweli kua hawana huo uliouita uke (UPAPA) hapana, Upapa wanakua nao, ispokua huwa hawavunji ungo (kubalegh) hivyo hukosa kile kishimo cha stareh, badalayake hubaki na kishimo cha kutolea maji taka tu (mkojo).
Nakupenda pia kabanga....
Salama kabisa mkuu hope na kwako kuko salama pia.
Kwangu natembea napo kiunoni!
Dahh,,,,, hii inatisha sana kuna jamaa alikuwa anampenda sana mwanamke mmoja mtaani kwao, ,kiukweli yule mwanamke alikuwa mzuri wa kupindikua yaani tunaweza kusema ( very,very beautiful ),,,, basi kutokana na uzuri wa yule mwanamke ,,,,na wanaume wasivyokuwa na dogo walianza kumfatilia lakini wote alikuwa akiwakataa, ,,,,basi akatokea kijana mmoja tajiri akaanza kumfatilia lakini yule binti alikuwa akimkatilia lakini kijana alikomaa kwa muda mrefu sana hadi yule binti akaona amkubalie,, basi watu wote walishangaa sana kuona jamaa kakubaliwa na yule msichana mrembo, ,,,basi jamaa akatoa mahali na kila kitu kinachotakiwa na kufunga ndoa na yule binti basi wapendanao hao wakaenda kwao na kuanza kufanya mambo yao cha kushangazaa kumbe yule mwanamke alikuwa ana k**ma bali alikuwa na ka tundu tu kadogo ka kukojelea, ,,,,je, ,we umejifunza nini?
Hicho kitundu ile rafiki ake inapenya kweli?
lakini umeipenda hadithi ya jamaa wa div5?
Kitapenya tuu hicho kitundu kipo elastic