Pesa bila mapenzi yakweli hakuna kitu kwani yeye huko alikotoka hakuwa anapata mahitaji muhimu wakae na pesa zao bila kuwajali wenza wao mwisho ni gawa tu labda awe mtu wakujiheshimu lakini kwakizazi hiki niwachache sanaHii kitu ngumu Mkuu, inategemea ntu na ntu. Wengine kama alivyosema Karucee wana mapesa kede kede lakini bado vidosho vyao vinavuliwa picchu na wasio nazo kisa nini mwenye pesa hamjali hamuonyeshi mapenzi.
Akili ya mtu si wote mkuuBabaangu aliniambia, mwanamke hata umfanyie nn haridhiki, akanipa na mfano, kila cku muachie 10000, alafu itokee cku kama tatu muachie 15000, baada ya hapo endelea kumpa ileile 10000, utaona kitakachotokea.
Mmmhkujali hisia za mkeo
Pesa bila mapenzi yakweli hakuna kitu kwani yeye huko alikotoka hakuwa anapata mahitaji muhimu wakae na pesa zao bila kuwajali wenza wao mwisho ni gawa tu labda awe mtu wakujiheshimu lakini kwakizazi hiki niwachache sana
Inategemea mkuu uwe na pesa lakini mke hajaliwi vizuri kutwa na watu wengine mara viti virefu, ila zikiisha ndiyo mke apate msoto hata mie sikubali nenda kabebe hata tofari huko tuje kula sio kuukalisha hapa nipike mandazi yangu wewe ukacheze bao noKiungo kikubwa kwa mke ni pesa fanya mbwembwe zooote lakin uskose pesa .Ukitaka kulijua hili fatilia maisha ya wanandoa ambao wameishi kwa upendo mkubwa mapenzi hasa, kudekezana kwa kila haina halafu pesa zikatoweka then angalia nn kilifata ndani ya nyumba ,utapata jibu.
English nzuri hiiHapana. Kupata full set ni bahati na ndo maana kuna kuvumiliana.
Ngoja nikuambie from my perspective as a woman. If I have a man I love, hana hela but ananiheshimu na kunijali I am content with the little he brings to the table.
On the other hand, if I have a man who is loaded but takes me for granted.... doesn't try to connect with me emotionally, I am doomed and we won't last because I would feel unwanted.
Again, if a man humps the stars out of me.... and that is just about it, no love and doesn't provide for me.....its again a NO for me.
It may seem complicated but its very very simple.
Tena hawa vijana wakazi nje house boy ndiyo wanaopewa penzi yeye huko huko na ma secretary wake na wasomi wenziwe mke nikama kituo tu cha kupumzika sasa yy afanye nini mambo haya uvumilivu hufika mwishoKabisa unaweza kumkuta mrembo anaishi katika bonge la nyumba, furniture za hali ya juu, gari la nguvu tena jipya mavazi yake ni yale ya bei mbaya lakini mume hamjali hampi penzi. Huyu anaweza kumvulia picchu hata dreva wa mume wake, mfanyakazi wa ndani au yule anayeaangalia bustani.
Sasa kama wewe mwanamke umeshindwa kujua sisi tutajuaje..rubbish kabisa
Hapo ni heshima tu wengi wanawake wanavumilia sana mapenzi toka kwa wame ni kidogo sana wanaume wanafichiwa siri tu ili wasijione wanyonge mbele za watuJamani tutofautishe kuridhika na Kuheshimiwa......Ila mimi ninavyohisi Wanawake hawaridhiki ila wanatuheshimu tu na kutufanyia staha na kuhurumiwa tu...Na sisi Huwa tunajidanganya tunawaridhisha kwa kila kitu...Hamna ni Heshima na Huruma tu ndiyo inatawala
Namtafuna vizuri sana mke wangu hajawahi juta kuwa na mimi toka tumejuana siku zote namfikishaga mwisho sex ndyo kila kitu ukiijua vizuri hii kitu ni dawa tosha kwa mwanamke kama hapapaswi vzuri maeneoni tatizoKila mwanaume anataka kuona mwanamke wake anaishi vizuri huku akiwa na utulivu na furaha muda wote bila
Kurubuniwa na wakware
Je nini humridhisha mwanamke ktk mahusiano?
[emoji122] [emoji122] [emoji122]DJ ,
Pesa ni sehemu tuuu ya maisha
Hata wanawake wanaweza kutafuta!
Tena wanaume wakipata pesa na mapenzi yanapungua home, najuuuta jamaa yangu kipato kilipo ongezeka!
Kuwa na muda nae wakuchati kuongea,kupiga simu!
Mshirikishe baadhi ya mambo yako ya kimaendeleo!
Vizawadi vidogo vidogo
Some outing kidogo
Don't expect too much from her!
Muamini!.
Msamehe anapokosea!
Muelekeze kwa upole anapokosea
MPE heshima mbele za watu
.........,
..........maisha sanaaa kamwe haifi ,kuwa mbunifu usikariri mambo,asha,sio amina ,esta sio rose!
HahahahaAtosheke na dudu basi
Kwani kwako alikuja kuimba pambio au kakufuata wewe , bila mashine angekuja kufanya nini huo huo mkojozi ndiyo unafuatwa si kingine, nikiwa kidato cha 1 tulimuuliza mwl wa kisw- kwenye fasihi kuhusu ndoa watu huwa washerekea nini wakati harusi jibu ni kugegedana ndiyo husherekewaMshadekezwa sana na kuthaminiwa lakni mwisho wa siku utasikia hamtukojozi
Mwanangu huu uchochezi ulio dhahiri kabisaSasa kama wewe mwanamke umeshindwa kujua sisi tutajuaje..rubbish kabisa