Mwanamke anapopigwa kibuti

Mwanamke anapopigwa kibuti


haahhahaaaa!!pacha we acha
dunia hii ya leo ukijifanya kupenda unakufa kama c kwa sumu
basi puresha!!mi aaakhuuu nikiona vp najikataa mapemaaaa!!

hahahaaa au unakuwa mpole mnachorana kama masanamu lol!
Mwanaume akikupa upendo we mpe heshima ili mambo yaende sawa teh.... Teh! Maana upendo + upendo= presha!!!!!!
 
hahahaaa au unakuwa mpole mnachorana kama masanamu lol!
Mwanaume akikupa upendo we mpe heshima ili mambo yaende sawa teh.... Teh! Maana upendo + upendo= presha!!!!!!

mi shemejio kuna kausemi hua nampa
nakuheshimu mme wangu,nipendeeeee baaaasiiii!!
asiponionyesha upendo na mi heshima naweka kando!!
 
 
Last edited by a moderator:
Binafsi ishawahi kunifika, ukweli siombi tena ijirudie kwani nusu nife niliokolewa na dada mmoja hv dr hsptal ya magunga korogwe jamanii sikieni tu kwa jirani
 
Shika sana ulichonacho. Enyi wanawake walindeni sana waume zenu, Mungu ameleta jambo jipya kwamba kila mwanamke atamlinda mumewe.
 
Back
Top Bottom