chapter closed hiyoutapenda tu siku moja...hakuna boflo ngumu mbele ya chai
Ingekuwa kukosa pesa wala asingeumia kwa sababu wanaume wenye pesa wako wengi tu
Ingekuwa kukosa pesa wala asingeumia kwa sababu wanaume wenye pesa wako wengi tu
chapter closed hiyo
huwa mnatoa pesa ndo mpendwe? ulishawai kumlipa nani na nani?
ahaaaaa! lakini inauma jamani! ndo maana sithubutu kumpenda mtu tena mweee!
jibu swali una invoice ngapi za kununua mapenzi?^^
Ha ha ha Hawa ndo wanawake wa JF,, Masikini mara hii mmesahau mnacholilia kwenye mapenzi?
Btw
Mimi masikini ntapata wapi pesa za kutafuta kupendwa?
Endeleeni kuwang'ang'ania wenye nazo ila mlie kidogo tu kwani mna feelings
^^
why nikuchukie! sina muda wa kumchukia mtuhata mimi umenichukia?
jibu swali una invoice ngapi za kununua mapenzi?
chapter closed hiyo
why nikuchukie! sina muda wa kumchukia mtu
Una utani wewe hakuna mwenye moyo wa chuma!!^^
Ha ha pamoja na kelele zote,,kumbe hata wanawake huwa wanaumia?
^^
duuuh sijawah kuachwa hua naacha
nikiona mizinguo inaanza tu mi ndukiiiii
mambo gani ya kuharibiana future haya!!
maskini mdada wa watu,ye alipenda kama kazaliwa nae nn?!!
mhhh mwenzangu ulitaka kumuua nani?:smile-big:tangu nizaliwe sijui maumivu ya mapenzi yakoje, ila nilikuwa na kamtindo ka kuchezea feelings za watu then nasepa... Ila sasa naheshimu aisee maana waweza uwa mtu hivihivi.
ahaaaaa! lakini inauma jamani! ndo maana sithubutu kumpenda mtu tena mweee!
tangu nizaliwe sijui maumivu ya mapenzi yakoje, ila nilikuwa na kamtindo ka kuchezea feelings za watu then nasepa... Ila sasa naheshimu aisee maana waweza uwa mtu hivihivi.