- Thread starter
- #41
So sad.......!so sad........!unapopenda kwa dhati hupendwi anapendwa mwingine love like a cycle
Aisee!
So sad.......!so sad........!unapopenda kwa dhati hupendwi anapendwa mwingine love like a cycle
Ndio maana yake maana hata Yesu alitupenda na kutufia ila watu bado hawampendi
Hiyo nayo ni shughuli pevu kaka. Hapo kiukweli jibu lake ni gumu mno!
Mkuu hyo hutugemea mtu na mtu na sometimes huwa vice versa,lkn msela akiwa na mzigo demu atajikuta anampenda bure.
sawa..
Hivi kwanini lakini?
Why???????
So sad.......!so sad........!unapopenda kwa dhati hupendwi anapendwa mwingine love like a cycle
Kwa kweli ata sielewi inakuaje hii....ndo maana wengine washachoka mapenzi.yani bora liende. Tajuana mbele kwa mbele ila anatamani vinginevyo.
Nataman kungekua na uwezo wa kujua nn mwenzio anawazia juu ya uhusiano wenu.kwa hivyo watu wasingehangaika ata.
Hahha.umeona eeeh?na ww vile vile kuna ambae wala huna shughul nae kumbe ndo kafa kaoza kwako...
Nmeona sana tu yani mapenzi haya nayaacha kama yalivyo kwa sasa napenda for my own risk
"Mwanamke anapenda kupendwa, mwanaume anapenda kuheshimiwa"
tupendeni nasisi tuwatii na kuwaheshimu
Enyi waume wapendeni wake zenu, enyi wanawake watiini waume zenu
Ukiona hivyo ujue unachapiwa sana tu