Mwanamke anapenda kupendwa

Mwanamke anapenda kupendwa

Ishu ni Perception tu. (Mitazamo ya Watu) kuhusu hili.. Tumetofautiana kimitazamo kutokana na experience (uzoefu) tuliopitia katika Mahusiano yetu na wapenzi wetu. Hivyo kila mmoja Atakua na jibu lake kulingana na Alivyoishi na kumjua Mpenzi wake.
 
Wanawake wanapenda kweli,ukitaka kujua cheki wanavoipenda ccm yaani hata iwakere vipi bado wanaipenda
 
Mi naona ni kweli kabisa,ila unaetokea kumpenda kwa moyo wote ndo wala hana time na wewe. So sad. 😔
 
Mke wangu nilimsoma tangu awali sana, anapenda kupendwa kwa dhati, kuthaminiwa, kuheshimiwa hasa kutomsema vibaya badala ya kumuelewesha. Nimetimiza hayo na yeye ametimiza kwangu zaidi yangu. Na ndiyo maana tuna ndoa ya zaidi ya miaka 30 bila mikwaruzo. Kimsingi tunapendana. Watu wengi wanakuwa na mahusiano ya uoga hamuambiani ukweli, yaani ni unafiki!!! Kwa staili hii ni kutoelewana kwingi.
 
Ishu ni Perception tu. (Mitazamo ya Watu) kuhusu hili.. Tumetofautiana kimitazamo kutokana na experience (uzoefu) tuliopitia katika Mahusiano yetu na wapenzi wetu. Hivyo kila mmoja Atakua na jibu lake kulingana na Alivyoishi na kumjua Mpenzi wake.

Sawasawa. Kama mdau mmoja alivyosema hapo juu, tujitahidi kuwajua wapenzi wetu vizuri.

Na hii ni kwa wote wanawake na wanaume.

Asante kiongozi.
 
Mke wangu nilimsoma tangu awali sana, anapenda kupendwa kwa dhati, kuthaminiwa, kuheshimiwa hasa kutomsema vibaya badala ya kumuelewesha. Nimetimiza hayo na yeye ametimiza kwangu zaidi yangu. Na ndiyo maana tuna ndoa ya zaidi ya miaka 30 bila mikwaruzo. Kimsingi tunapendana. Watu wengi wanakuwa na mahusiano ya uoga hamuambiani ukweli, yaani ni unafiki!!! Kwa staili hii ni kutoelewana kwingi.

Ahaaaa!

Jamani tusiwaseme vibaya wake zetu. Mueleweshe tu atakuelewa.
 
Mkuu unaongelea wanawake wa karne hii au??
Karne hii ya JK ufundi ni VETA mapenz PESA... Kama huna PESA wanawake wazuri utaishia kuwaita SHEMEJI.
 
Mi naona ni kweli kabisa,ila unaetokea kumpenda kwa moyo wote ndo wala hana time na wewe. So sad. 😔

So sad.......!so sad........!unapopenda kwa dhati hupendwi anapendwa mwingine love like a cycle
 
Mkuu unaongelea wanawake wa karne hii au??
Karne hii ya JK ufundi ni VETA mapenz PESA... Kama huna PESA wanawake wazuri utaishia kuwaita SHEMEJI.

Shida ni kwamba kuna wanaotoa ushuhuda humu jukwaani kwamba pesa si tatizo kwao, lakini bado wanalizwa tu.

Na wengine wanasema wao wanahitaji kupendwa, kuthaminiwa na mengineyo. Mengine yote ni mbwembwe tu. Labda maana

ya neno kupenda ni msamiati ambao haueleweki.
 
Back
Top Bottom