Mwanamke anapata wapi na anatoa wapi ujasiri wa kuwa na kitambi?

Wakishamalizana na suala la vitambi watataka wawe na komwe kama mkulu
 
Duh yaani mama watoto wangu kila kukicha kitambi kinazidi kuongezeka tu,mpaka nakosa raha kabisa nishampa ushauri wa kiafaya kuanzia mazoezi mpaka chakula lakini mbishi hatari hakubali kabisa,tena ananijibu niende kwa wale wasiokuwa na kitambi nampenda huyu mwanamke kwanza ni mpole hana makuu,anajua wajibu wake kwa mume wake sijawahi kumkamata hata sms au kiashiria chochote cha usalti kwa miaka yote nane tuliyoishi pamoja na ananipenda mno kuliko na neno lenyewe UPENDO ila shida ni kiambi tu,mweupeeee shingo ndefu, tako hilooooo ila KITAMBI jamani sijui nifanye nini tu.
Ulipomuoa alikuwa nacho?!
Jitahidi uwe unafanya naye mazoezi mkuu, akiwa na wewe kwenye mazoezi itakuwa rahisi
 
Ana uhakika yupo ndoani ndio maana jeuri ingekua kipindi ya uchumba angekipunguza kwa hali na mali
Duh yaani mama watoto wangu kila kukicha kitambi kinazidi kuongezeka tu,mpaka nakosa raha kabisa nishampa ushauri wa kiafaya kuanzia mazoezi mpaka chakula lakini mbishi hatari hakubali kabisa,tena ananijibu niende kwa wale wasiokuwa na kitambi nampenda huyu mwanamke kwanza ni mpole hana makuu,anajua wajibu wake kwa mume wake sijawahi kumkamata hata sms au kiashiria chochote cha usalti kwa miaka yote nane tuliyoishi pamoja na ananipenda mno kuliko na neno lenyewe UPENDO ila shida ni kiambi tu,mweupeeee shingo ndefu, tako hilooooo ila KITAMBI jamani sijui nifanye nini tu.
 
Kwa kweli najiuliza maswali ambayo labda wadau humu mtakua na majibu. Mwanamke anatoa wapi na anapata wapi ujasiri wa kua na kufuga kitambi?

Mwanamke anakoss haya kabisa wala aibu anakua na kitambi na anatembea nacho bila wasiwasi wowote.

Yaani mwanaume aanze kazi ya kufukua mashine ilipo aanze kuitindua na mwanamke ameridhika kabisa mumewe au mpenzi wake kuhangaika kutafta mashine? Wanawake mnatoa wapi ujasiri wa kua na vitambi?

Kwani si imeandikwa kwamba mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanamume atatafuta "riziki" kwa jasho, sasa wewe unafikiri utapata "mashine" kirahisi kwani umeitengeneza wewe halafu ukaibandika mwilini mwake??, wacha wanawake wafuge vitambi kutimiza maandiko.🤣🤣 yaani yeye azae kwa uchungu halafu wewe ugegede kirahisi ?!!!
 
Hi issue y vitambi kwa wanawake zetu imeku kama fashion, wanapenda kula sana, na wamejaliwa maumbo Mazuri ambayo Wenyewe hawaoni shida kuyaharibu. So saadiiiii
 
"Yaani mwanaume aanze kazi ya kufukua mashine ilipo aanze kuitindua na mwanamke ameridhika kabisa mumewe au mpenzi wake kuhangaika kutafta mashine?"

Kuuliza siyo ujinga...

Hivi kinachoziba nanilii ya mwanamke ni kitambi au unene?

Sababu kuna wale viuno nyigu hawana vitambi ila hips zimebana nanilii zao kabisa...

Cc: mahondaw
 
Duh yaani mama watoto wangu kila kukicha kitambi kinazidi kuongezeka tu,mpaka nakosa raha kabisa nishampa ushauri wa kiafaya kuanzia mazoezi mpaka chakula lakini mbishi hatari hakubali kabisa,tena ananijibu niende kwa wale wasiokuwa na kitambi nampenda huyu mwanamke kwanza ni mpole hana makuu,anajua wajibu wake kwa mume wake sijawahi kumkamata hata sms au kiashiria chochote cha usalti kwa miaka yote nane tuliyoishi pamoja na ananipenda mno kuliko na neno lenyewe UPENDO ila shida ni kiambi tu,mweupeeee shingo ndefu, tako hilooooo ila KITAMBI jamani sijui nifanye nini tu.
Kwa sifa hizo we mpende tu hakuna namna.
 
Msaidie kufanya mazoezi + diet atapata moyo....sio wewe unasema afanye diet halafu home mnakula mapocho pocho lazima atamani...diet + mazoezi kufanya mwenyewe ni ngumu ila ukiwa na mtu anayeku support unapata motivation.

Pia unapokua unamwambia kuhusu kitambi chake mwambie kwa upendo, maana ukimwambia kama unamsema anakua anajisikia vibaya ndio maana anakua defensive kukwambia watafute ambao hawana.

Usiogope kuingia gharama ili mke wako apendeze...akisema anataka supplements mpe hela anunue, sijui dumb bells mnunulie.

Support her kwenye safari yake ya kupungua utafurahia mwenyewe maana na mapenzi kwako yatakua ya moto.
Duh yaani mama watoto wangu kila kukicha kitambi kinazidi kuongezeka tu,mpaka nakosa raha kabisa nishampa ushauri wa kiafaya kuanzia mazoezi mpaka chakula lakini mbishi hatari hakubali kabisa,tena ananijibu niende kwa wale wasiokuwa na kitambi nampenda huyu mwanamke kwanza ni mpole hana makuu,anajua wajibu wake kwa mume wake sijawahi kumkamata hata sms au kiashiria chochote cha usalti kwa miaka yote nane tuliyoishi pamoja na ananipenda mno kuliko na neno lenyewe UPENDO ila shida ni kiambi tu,mweupeeee shingo ndefu, tako hilooooo ila KITAMBI jamani sijui nifanye nini tu.
 
Jiongeze Mkuu....tafuta kimodo Piga Pumbu

Back
Top Bottom