Mwanamke unapata wapi ujasiri wa kumpiga mumeo?

Didododi

JF-Expert Member
Jul 21, 2023
321
426
Wanajamvi naona mpo safi kbisa na mmechill tu kwa hapo.

Nimeona niwaletee hii nondo mana da hawa wajumbe washanza kutembeza vitasa muda sana sema tu hayaongelewi sababu wanaotembezewa vitasa(me) wanaoona aibu kuyasema.Wazee wmekuwa wakichezea vitasa sana .Unakuta ishu kidogo tu vitasa ,kitu kidogo tu vitasa.Hasa hawa wazee wa wt wenye maumbo madogo alaf wameoa wake waliopnda hewani na misuli ya kumwagika baadhi yao wamekuw wakinukishiwa mbaya.

Kuna rafk yangu kaoa mwaka jana hv mwishon jamaa mdogo mdogo wife kpand dizaini anamuangali kwa juuJamaa anasema mara ghfla siku mbili baada ya harusi anakuta wf sa 11 asubuhi kamwacha kitandani akawa anajiuliza wf yupo wapi tn hata amka na BBC bado?

Kuchungulia nje akamwona anaruka kamba ,mara pushup,mara siku nyingine jogging,(Alimwombaga jamaa amtengenezee chuma Ile wananyanyuag zoezi ambalo amekamilisha juzi kati na wf anaendelea na zoezi.(kiufupi wife ni mtu wa tizi)Si mbaya kufanya mazoezi kwa mwnmk ila du huwezi amini juzi sjui tofauti zilianzia wap hko ndan bana du jamaa ilichezea mfano wa mandonga kwa huyo mganda.

Mh jamaa jamaa uso umejikataaa.Sasa najiuliza mke anapata wpi ujasiri w kumpiga mume wake ,hy misuli msiitumie kuwachezeshea kichapo waume zenu(hsa wenye mambo madogo🥱)itumieni kuunganisha nguvu kujenga familia
 
5ACE9D51-9CC4-48FF-B7B6-730A43248E9C.jpeg
 
Kesi kama hii ilikuja Ofisini
Mzee wa watu alikua anapokea kipigo Matata sana manina.
Anaulizwa hela anapeleka wapi
Nilimzingua sana Mke wa yule Mzee aache hiyo tabia mara Moja
 
Kesi kama hii ilikuja Ofisini
Mzee wa watu alikua anapokea kipigo Matata sana manina.
Anaulizwa hela anapeleka wapi
Nilimzingua sana Mke wa yule Mzee aache hiyo tabia mara Moja
Aliacha?
 
Wakati yeye anafanya vimazoezi vyake,mwanaume chukua jambia au bastola yake kakae pembeni unasafisha!akimaliza na wewe unarudisha "kitendea kazi " chako ndani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom