DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,998
- 30,888
Duh yaani mama watoto wangu kila kukicha kitambi kinazidi kuongezeka tu,mpaka nakosa raha kabisa nishampa ushauri wa kiafaya kuanzia mazoezi mpaka chakula lakini mbishi hatari hakubali kabisa,tena ananijibu niende kwa wale wasiokuwa na kitambi nampenda huyu mwanamke kwanza ni mpole hana makuu,anajua wajibu wake kwa mume wake sijawahi kumkamata hata sms au kiashiria chochote cha usalti kwa miaka yote nane tuliyoishi pamoja na ananipenda mno kuliko na neno lenyewe UPENDO ila shida ni kiambi tu,mweupeeee shingo ndefu, tako hilooooo ila KITAMBI jamani sijui nifanye nini tu.
Unanifahamia wapinaanzia wapi kukujua mkuu. Mimi nakufahamu tu
G
Sio wasiku hizi..hata mamazenu wanavitambi Sana tu... Ilamnakazana kuwasema wadada wawatu...uzazi ni Moja ya sababu ya kusababisha vitambiIla wanawake wa siku hizi wanavitambi
Mwanaume mashine, mwanamke mashine!?kazi ipoMtu kama wewe mashine hata ingekuwa chini ya handaki unegechimba tu kuifata, achana kabisa na hiyo kitu.
Vitambi vyao vya msimu, sisi wanaume ndio chazo tusiwanyanyase, tusipowajaza hawana popote pakuvipata.Ila wanawake wa siku hizi wanavitambi
Vitambi hoyeeeeee!!!
Tunavipakata tu.Hoyeee tufanyaje sasa [emoji51]
Wanawake hawana vitambi ila wana matumbo makubwa.Kwa kweli najiuliza maswali ambayo labda wadau humu mtakuwa na majibu.
Mwanamke anatoa wapi na anapata wapi ujasiri wa kuwa na kufuga kitambi?
Mwanamke anakosa haya kabisa wala aibu anakuwa na kitambi na anatembea nacho bila wasiwasi wowote.
Yaani mwanaume aanze kazi ya kufukua mashine ilipo aanze kuitindua na mwanamke ameridhika kabisa mumewe au mpenzi wake kuhangaika kutafta mashine?
Wanawake mnatoa wapi ujasiri wa kua na vitambi?
Asante kwa kutukumbusha
Nilikuona Tandahimba unalangua korosho , msimu uliopita.Unanifahamia wapi