Mwanamke aliye tayari kuwa mama

Habari zenu.

Mimi ni kijana mtanzania, miaka zaidi ya 26. Hapa karibuni, rafiki zangu kadhaa wamepata watoto wao, na kusema ukweli ile excitement yao imenigusa mno. Mpaka umri huu, bado sina uhakika kama naweza kuwa mume bora, ila nina uhakika kabisa kuwa naweza kuwa baba bora. Hivyo basi, nimeona nitafute mwanamama aliye tayari humu, since nikitafuta huku "duniani" chances are higher that they will get emotional and ask for more.

Nahitaji mwanamama ambaye uhusiano wetu utakuwa ni parenting tu, kwa sasa. Awe mrembo wa sura na umbo; awe vizuri kichwani; awe na uwezo wa kujitegemea; awe mzima kimwili na kiafya; awe ametoka katika familia iliyostaarabika; awe ametoka katika familia isiyo na magonjwa ya kurithi; umri miaka 20-32; rangi ya kuvutia na asilia; urefu 165cm-172 awe na good sense of humour; awe msafi wa tabia na mazingira; na mengine tutajadili mbele ya safari.

Kwa mwenye sifa, karibu.

Tobaaaa mzee wa Ngel hata wew umekuja huku alafu cha kusikitisha na kuchekesha una 26 unata kudate na mtu wa 32 unataka kumtoa kafara mtoto wa mwanaume mwenzio au saiz yako bado yuko form sita anasoma
 
Niambie kwanza, hiyo shepu ya nguvu hapo kwenye avatar yako ni wewe??
 
Kasinde sila wako ametotoka gerezani

Siku hizi naona mention notification haifanyikazi kazi kabisaaa. Yaani mie mtu akini - mention sipati notification.

Fikiria tangu tarehe 26th June leo ndo nimeiona hii msg kwa kuperuzi tuu randomly. Otherwise kuna finyango inadukuzi ID ya Kasie. ........

Cognition huyu sio Silas huyu ni Paulo, Silas ni mwenzie ambaye walikuwa wote gerezani, huyu ndo katoroka, Silas wangu bado yupo gerezani anaendelea kuimba hadi hapo milango itapofunguka Hehehehehehehehehehehehehehehehehee.

Kasie mie. ..... Wacha nicheke nifurahi laah
 
Tobaaaa mzee wa Ngel hata wew umekuja huku alafu cha kusikitisha na kuchekesha una 26 unata kudate na mtu wa 32 unataka kumtoa kafara mtoto wa mwanaume mwenzio au saiz yako bado yuko form sita anasoma

Halafu nyie mnaniharibia mjue? Nimesema nina zaidi ya 26, which means naweza kuwa hata 40.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom