Mwanamke aliye tayari kuwa mama

Mwanamke aliye tayari kuwa mama

Mkuu Paulo uwe unaandika kiswahili kaka, nhua najibu kwenye mada zako nyingi kua kingereza kilitoweka kichwani mwangu toka mwaka jana baada ya matokeo ya uchaguzi kuonyesha Lowassa sio rais.

Binafsi hua unanivutia sana kwa hoja zako na uandishi wako mkuu. Hugombani na mtu na hata mtu akikuelewa vibaya na kukujibu vibaya unamjibu kiustaarabu. Ingawa unapendelea sana kimombo lakini hata ukiandika kiswahili bado unaandika hoja na uandishi mzuri.

Nikutakie kila la heri mtumishi.
 
Hahaha. Pamoja sana kiongozi.
 
Habari zenu.

Mimi ni kijana mtanzania, miaka zaidi ya 26. Hapa karibuni, rafiki zangu kadhaa wamepata watoto wao, na kusema ukweli ile excitement yao imenigusa mno. Mpaka umri huu, bado sina uhakika kama naweza kuwa mume bora, ila nina uhakika kabisa kuwa naweza kuwa baba bora. Hivyo basi, nimeona nitafute mwanamama aliye tayari humu, since nikitafuta huku "duniani" chances are higher that they will get emotional and ask for more.

Nahitaji mwanamama ambaye uhusiano wetu utakuwa ni parenting tu, kwa sasa. Awe mrembo wa sura na umbo; awe vizuri kichwani; awe na uwezo wa kujitegemea; awe mzima kimwili na kiafya; awe ametoka katika familia iliyostaarabika; awe ametoka katika familia isiyo na magonjwa ya kurithi; umri miaka 20-32; rangi ya kuvutia na asilia; urefu 165cm-172 awe na good sense of humour; awe msafi wa tabia na mazingira; na mengine tutajadili mbele ya safari.

Kwa mwenye sifa, karibu.
Mkui vipi mwenye mtoto naye ananafasi moyoni mwako weka wazi
 
Nishakaribia
 
Back
Top Bottom