Mwanamke aliye tayari kuwa mama

Mwanamke aliye tayari kuwa mama

sikujui paul but unaonekana wewe ni kijana mzuri sana.u deserve the best .usijiharibie maisha kwa kuiga lifestyle za mtu
mchukulie diamond hana tena future ya kuwa na stable family kazaa na zari zari ana familia ingine unaona hyo mixture ungependa kweli kuona watoto wako wapo family hii mara family hii?
unayo nafasi ya kuwa na stable family isiyoelemea mrengo wowote
pls take easy sio kila kitu ukikitamani ukikurupukie tu
Safi, umri sahihi, wa kumpata ataeanza nae, sio ulioanzishiwa.
 
Kwa vigezo vyako hivyo basi ujue huyo mwanamke ana msururu wa wanaume wanaopambana kumuoa.

Ungewalegezea masharti kidogo labda
 
Back
Top Bottom