Hekima ni Mwalimu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2015
- 244
- 460
Mmm huna kinyaa wewe .Mchagua jembe hawezi akawa mkulima aiseee....
Mmm huna kinyaa wewe .Mchagua jembe hawezi akawa mkulima aiseee....
Ndio mkuu, huo ndio utamu wenyewe shekh....😋Mmm huna kinyaa wewe .
GENTLEMAN,ni muhimu sana na ni vizuri kusaidiana na kuambiana ukweli mtupu gentleman, bila aibu wala kificho au kuvumilia harufu kali na mbaya sana.
Wanazisafisha sana na kuondoa bakteria wa kutunza mazingira ya nyuchi zao na kuvaa mavazi ya kiume kama vile suruali na hivyo nyuchi zinashindwa kupumua na matokeo yake nyuchi hizo huchacha ndani ya muda mfupi tu na kutoa harufu kali zaidi ya feri.
Tuambiane ukweli itasaidia sana,
na hata mabrazameni watanashati wa mjini na vijijini, wanalalamikiwa sana kwa harufu zao kali na mbaya sana za uvundo uliochachuka kwenye sehemu zao za siro.
Lakini pia hawaswaki kabisa.
Ni muhimu sana kwa wanaume kuzingatia hili pia na kulifanyia kazi, hii itasaidia sana kuimarisha mahusiano na kuondoa manung'uniko ya chini chini 🐒
Dawa yake uache umalaya(umeeleza mwenyewe kwamba ni mtu wa kubadilisha wanawake sana) Rudia ulichokiandika haporjuu.Oa/tulia na mtu wako mmoja aliye na "harufu"njema/anayenukia vizuri kadiri ya mapenzi yako.Habari.
Mimi sijui nina shida gani wazoefu.
Nikibahatika kulala na mwanamke yoyote nikakutana na harufu kali Ile ya shombo nashindwa kuelewa sijui wanawake hawajijui kama baadhi wanatoa harufu.
Aisee hata niwe serious vipi na wewe kwa mahusiano Tutaachana Tu
Gentleman,GENTLEMAN,
Lecturer wangu...huyu ndie Lecturer wangu ninae mjua.
Ila Sasa akiwa KULE kutetea ugali wake 😁😂

Kisamaki noma mzee mwenzangu. Wajifanyie usafi na kutafuta tibaPoleni sana mabinti wa kizazi cha sasa kwani mnagombea nafasi moja ya kuolewa na vijana wa sasa wanaowananga na kuwadhalilisha kutwa humu ili mkose kujiamini ili waolewe wao.
Kumekuwa na shinikizo kubwa la kuwasema na kuwadhalilisha ili msijiamini kama mabinti na ndio chanzo cha hizi threads nyingi humu JF za kuwa bully kutoka kwa vijana waliotoka kundini kawa mleta muanzisha uzi. 😂😂
Wanaotema huwa wagumu wa kutoa mzigo kwa hofu ya kuachwa,means wanajijua!!Mwanaume ni kiongozi,unashindwa nini kumsaidia aondokane na hiyo harufu?
Inanuka mkiambiwa ukweli mnanunaMbona leo zimejaa mada za harufu kwa wanawake....kulikoni?
Hongera zake mno ni hatua kubwa katika maendeleo ya taifaInanuka mkiambiwa ukweli mnanuna
Kongole kwa Mchepuko wangu anajua kuikosha nadhani haya madhira ni sehemu ya Medani zake