Mwanamke akiwa hivi lazima nikimbie tu

Binafsi mwanamke nikimkuta akiwa na muonekanao huu lazima nikimbie hata kama namuhitaji kwa kiasi gani

Kope bandia
Nywele kashonea
Kucha bandia
Suluali yaani jeans imetoboka magotini
Sura imejaa make up

Hapo hata sijushughulishi nae

Je nyie wenzangu huwa muonekano upi unakufanya umkimbie mwanamke ikiwa unahitaji kumtongoza?
Labda nikute bwawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noma sanaa...unakuja mpaka geto kwangu kucheza karata au kupiga story..??
Nlivokutongoza ukanikubalia ulitarajia nini..niwe kakako au?
Utatoa hutoi...

Hahaha vivulana vya siku hizi
Mapenzi yenyewe hawajui hata maanake nini..mi mwanaume akitanguliza kuomba papuchi nampa kibuti siku hiyo hiyo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umetanua soko kidogo, jiandae tunakuja!
 
Hapana..sio hivo
Unapokua na haraka unafanya mwanamke awe na mashaka.
Kama mwanamke umempenda kwa dhati na una malengo nae haraka ya nini?
Huyo ni wako tu..hata ipite mwezi huyo ni wako tu.
Mwanaume hushindwi kutongoza na ukaomba mzigo siku hiyo hiyo.....halafu kesho ankublock

Hivi fikiria reaction yake mwanamke akiomba hela muda mfupi baada ya kutongozwa?...



Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah hio inaitwa 90 Day Rule kule mamtoni. Ila yako hio ni 30 Days Rule. Unamchelewesha mwamba tu kama sio mvumilivu au hayupo serious ndani ya hizo siku lazima atasepa kimyakimya, ila kwa wavumilivu kupigwa mashine ni uhakika na kuachwa ni compulsory!
 
Unaweza usiombe siku hiyohiyo ikapita hata wiki mbili ndio uombe lakni bado utaambiwa usiwe na haraka au mwanamke anakuambia nitakujulisha mimi, hiyo utasubiri mpaka jua lizame

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa xpiriento yangu ndogo mwanamke mwenye mapigo ya "Ntakwambia", "Ntakujulisha", "Subiri ntakutafuta" ujue wala hakuwazii hata kidogo, hapo ni sawa sawa na kusubiri ndege TPA.
 
Turn off ni vikuku mguuni, mengineyo ntavumilia ila sio kuwa umevaa kikuku miguuni. Ukiongezea na kujipara ndio dah!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom